What is the biggest lie you have ever told Or heard on JF?

What is the biggest lie you have ever told Or heard on JF?

Ndo kwanza hata mwezi sijafikisha,nasubiri sijui huko mbeleni [emoji16][emoji16]
Unaweza kukuta unatuchocha ....ushakuwa JF kabla hata ya 1998
 
Tuachane na kizungu maana wengi tutashindwa kujieleza.....

JF watu tunafanganya saana....wengine huenda mbali na kuvaa uhusika usio wao hasa PM....

Utakuta mtu anamuimbisha mdada PM atamtajia vyeo na mafanikio yote hadi vyeo vyote vitaisha.

Waafrika utaratibu wa kufunguka huwa hatuna ila leo mtajaribu.

Ni uongo gani ulishawahi kuutoa hapa JF hadi mwenyewe ukajiambia kweli hapa nimepitisha mipaka ya udanganyifu.

Kuna uongo ambao hadi unamuuma mwoongo mwenyewe.

Mimi uongo wangu mkubwa hapa JF....ni niliwahi kutoa utambulisho wa uongo kwa dada yangu mmoja ila baadae nikaona aibu nika-confence.

Jukwaani alidhani tunakaribiana kiumri kuja kumuuliza mwenzangu anatofautiana miaka mitatu na mama yangu. Ikabidi nami nikiongeze kiaina umri na kumtumia picha ya jirani yangu ambaye ni mzee.

Sasa siku nakaribishwa kwake nikawa namzungusha wee hadi nikaja kuusema ukweli....

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]JF kuna watu wazima hata wewe mwenye 45 yako unajiona mzima ila kuna watu wazima zaidi yako.

strong man never bend !! lol
 
Nilidanganya sana

Kwa wanaume wote waliokuja PM

Wote nilidanganya....

Na ukweli ni kwamba....

Ngumu sana kuacha.....

Ni tamuuu.... 😅😋😋😋
 
Nilidanganya sana

Kwa wanaume wote waliokuja PM

Wote nilidanganya....

Na ukweli ni kwamba....

Ngumu sana kuacha.....

Ni tamuuu.... [emoji28][emoji39][emoji39][emoji39]
Hahah ..

Mimi pia nadanganya saana...JF unaweza ukawa unachat na ID 4 za mtu mmoja.

Ninaweza hata kumuomba mtu awasiliane na wewe kwa ajili yangu.
 
Parabao mzee wa Uswizi watu wengi Jf walimuamini alikuwa anazungumizia ulaya na viwanja vya starehe , connections nk . Kumbe jamaa mlima chumvi tu ndani ya bongoland anaishi kwa ujanja ujanja.
 
Hahah ..

Mimi pia nadanganya saana...JF unaweza ukawa unachat na ID 4 za mtu mmoja.

Ninaweza hata kumuomba mtu awasiliane na wewe kwa ajili yangu.

Halafu wa hivi wako wengi.....

Ila asilimia kubwa nilikuwa nawapangua kama pangaboi....
 
Kumbe wewe bibi Chakorii

Ulipokuwa member mpya ulikuwa rafiki yangu saana humu jukwaani ila sikuhizi naona vibopa vya JF vishakuopoa......

Hata nyuzi zangu hulike tena.
Yes bibi chakorii

Nakukumbuka mchango wako sana Daby na Siwezi kuusahau kabisa naomba uamini my dear.

Sikubadilika kwako na wala sitobadilika isipokuwa niliona nikupe nafasi lakini pia kuna wakati ulikuwa hauko hewan kabisa.in short haikuwa active jf.

Nakukumbuka sana.niliijua jf browser kupitia wewe

Siwezi kukusahau kabisa.
Hiyo nchi uliyopo sasa hivi uko salama?ninaimani hauko ukraine wala urusi

Mama nani yule wa kipindi kila sijui yuko salama?
 
Nilikuwa natania bhana...

Mie nipo majukumu tu yanabana.....nipo nyumbani.

Yupo bado tunadunda tu.
 
Nilikuwa natania bhana...

Mie nipo majukumu tu yanabana.....nipo nyumbani.

Yupo bado tunadunda tu.
Ulikuwa unamaanisha 😂😂

Usijali endelea kupambana ndugu yangu.siku ukikatibia kurudi nchi tafadhali tuwaliane
 
[emoji3][emoji3]
Kwema lakini! Hopefully.... you are enjoying your time?

Niko poaaa

Wasalimie wamasai wotee....

Wengi wanaamini mimi ni mnyamwezi kumbe sio...😅

Uongo wa JF ni mwingi...!
 
Kumbe watu mnadanganyana humu na hamsemi? Sijapenda kwa kweli!!
 
Kuna yule mmoja aliniambia PM baba yake ni Ridhiwan Kikwete kwa hiyo nisiwe na shida kwenye suala la pesa
Akasema atakuwa ananipa 300K kila siku kama nitakubali kuwa nae

Badae nikaja kujua ni kapuku mwenzangu anasoma zake hapa MUHAS
🤣🤣🤣 daaaah!!
 
Back
Top Bottom