MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Dear WanaJF............
Habari zenu?
Katika hizi siku za karibuni kuna matukio yaliyojitokeza ambayo yamenifanya niwaze na kujiuliza maswali mengi sana. Hasa hili suala la Mainfii ambao wamezaa na waume za watu.............. kwa nini wengi hujitokeza kumreveal mtoto alozaa na baba flani pale ambapo mhusika mkuu amefariki? Yaani anaposikia tu infidelator ambaye ni mume wa mtu amefariki au anaumwa sana ndo anakuja kuclaim kuwa amezaa na marehemu?? Nina maswali makuu manne katika hili jambo.....
1. Huwa wanapata wapi nguvu na ujasiri wa kujitokeza kuwa nimezaa na mume wa mtu (Nazungumzia wale ambao watoto husika huwa wamezaliwa wakati jamaa yuko ndoani- yaani kithibitisho cha kuinfidelate--- mtoto ni mdogo zaidi ya umri wa ndoa halali)?
2. What is the point... nini hasa matazamio (Mhusika ameshafariki wewe kama infidelatee ambaye umezaa na marehemu- unakuwa unatarget nini wakati unapojireveal/mreveal mtoto wakati babake ameshafariki?
3. Je kuna tofauti ya kujireveal kati ya mwanamke ambaye anajimudu kimaisha yeye na mwanaye (ambaye ameamua tu kuzaa na mume wa mtu for the sake ya kuzaa) na mwanamke ambaye bado ni tegemezi (let say mwanafunzi au kina Eliza)?? na
4. Kuna wanaume wanaojitokeza kudai watoto iwapo wanajua kabisa (na wana ushahidi ) wa kuzaa na mke wa mtu??
Sina majibu ya haya maswali waungwana ninaomba mnisaidie.
Aksanteni
( Teamo, please usikwesheni muda wa kurushwa kwa sredi- just spare me)