Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Akawashtaki police kama shari basi iwe shari.Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni vijana walio serio
NAKAZIA HAPA.Mwanaume kubishana na mwanamke siyo vizuri.
Kwanini urushiane maneno na mwanamke? I mean any woman.
Huyo mo jay na mkewe hawajielewiKuna Me wanauwezo wakuzalisha,kukojoza ila bado si WANAUME. Japo Gigy ni Chizi ila hakutakiwa kumfanyia hivi mzazi mwenzake,tena mbele ya mtoto wake.Hajui alicho kifanya ni sawa ya kuupiga muhuri wa moto wa chuki kwa huyo mtoto alieye mzaa,ambao hauto futika. Halafu kesho atasema amelishwa sumu na mama yake, wakati kafanya ukatili mbele ya mtoto wake tena unao muhusu mama yake mzazi.
Najua ni nguvu ushawishi ya mkewe wa sasa na si yy wenyewe, kwani ameshindwa kusimama kwenye nafasi yake kama mwanaume. Yaani jamaa ni bonge moja la fala, hajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia, sasa ona mwanae mwenyewe wa kumzaa anamwona katili.
Unayemsemea ni Jay Melody hana baya Mzanzibar wa watu, huyo kichaa ni Mo J mtangazaji wa Clouds fmHovyo kabisa. Hivi huyu mo j ndiyo aliimba ule wimbo mzuri na Billinass? Tena nika subscribe? Najiondoa Leo. Wanaume hatuko hivyo bro.