What is this ? Mo Jay??!

What is this ? Mo Jay??!

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni vijana walio serious kazi za media, learn to separate work and personal life, Giggy atafute lawyer ampige hela yeye na employer wake. Ffs
 
Nilikuwa youtube napita pita nikaona hii clip ya Giggy money nimekuwa disappointed, hata kama mna tofauti kubwa vipi , mwanaume lijali you don't go out and fight na baby mama wako. a simple dinner ya kuelewana could solve this, yani mtangazaji una beba na mke wako to a fight, why?!! 🚮 Wapeni vijana walio serio

Akawashtaki police kama shari basi iwe shari.
 
Kuna Me wanauwezo wakuzalisha,kukojoza ila bado si WANAUME. Japo Gigy ni Chizi ila hakutakiwa kumfanyia hivi mzazi mwenzake,tena mbele ya mtoto wake.Hajui alicho kifanya ni sawa ya kuupiga muhuri wa moto wa chuki kwa huyo mtoto alieye mzaa,ambao hauto futika. Halafu kesho atasema amelishwa sumu na mama yake, wakati kafanya ukatili mbele ya mtoto wake tena unao muhusu mama yake mzazi.

Najua ni nguvu ushawishi ya mkewe wa sasa na si yy wenyewe, kwani ameshindwa kusimama kwenye nafasi yake kama mwanaume. Yaani jamaa ni bonge moja la fala, hajui kwamba huwezi kushindana na mwanamke kuongea na ugomvi wa wanawake hutakiwi kuingilia, sasa ona mwanae mwenyewe wa kumzaa anamwona katili.
 
Huyo mo jay na mkewe hawajielewi
 
Inshort wanaume nyie si ndio vichwa? Au mlighairi? Kama hamjaghairi basi chonde chonde angalieni pa kumwagia ndani. Na wale mlioghairi basi tafadhali sana msimwagie ndani kwa ustawi wa kizazi hiki na kijacho.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom