What is this ? Mo Jay??!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanaume unaenda kwenye ugomvi na kichwa cha kuku huku umeshikilia simu unabweka tuuuu mbele huendi unarudi nyuma nje ya ukuta[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Punguza makasiriko jombaa
Agiza popcorn angalia show.

Giggy money kazaa na sampuli inayofanana naye.

Lakini Mo Jay atakuwa anahudumia laana fulani tusiyoijua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni mchokoziii sanaa. Huyo kazidi hadi mkorogo wa mafungu, namuweza wapiii lol
Mo jay ndy nani?ni msanii au

Aise katuangusha sana wanaume
UtAmpelekaje mwanamke polisi

Ova
 
Kwahiyo yeye anazalisha hatunzi watoto,anatunza ndevu
 
Mo jay ndy nani?ni msanii au

Aise katuangusha sana wanaume
UtAmpelekaje mwanamke polisi

Ova
Mo jay kazaa na giggy, ni presenter hapo Clouds, malavidavi, ni slay boy wa town tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kunywa supu ya kuku mkuu
Nakuja kulipa😍😍
 
Kwahiyo yeye anazalisha hatunzi watoto,anatunza ndevu
Watu mna maneno
Mm nafikiri gigy aliweka matarajio makubwa kuzaa na mo jay tofaut na uhalisia wa mwanaume sio mlezi mzuri kama alivotarajia ilo ndo linamtesa kunawatoto wengi hawahudumiw na babazao na mama wanapambana hamna kesi Wala ugomvi

Pia mwanaume kakosea kumjibu na kumtukana mzazi mwenzie na kumdhalilisha na mke wa jamaa ni mpumbavu mno
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
[emoji1787][emoji1787] eti alienda kugombana nae anachukua video na yeye anamchukua video [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na hakuweza kumkaribia opponent na hata video yenyewe ya ugomvi imetoka kwenye simu ya opponent[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hata yule mwanamke na mtoto mchanga kamkaribia opponent kwa ukaribu wa 0_distance!
View attachment 2564760
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee jaman
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee jaman
Pale hamna mtu! Alafu mzuri kuliko huyo gigi mane[emoji2960] hata huyo mwanamke mwingine nae kapitwa uzuri na huyo jamaa[emoji16]


Picha la ajabu sana wallah! Hivi hiyo team aliyo izoa na kuikusanya kwenye kile kichwa cha kuku ndio imeenda kuishia nje ya geti!!!? Aibu sana mimi nisinge kubali kuonekana kwenye kamera yoyote ni aibu sana
 
Mo Jay is just another fag boy in town. A real tough man always go mano-o-mano with another man.
 
Alafu baadae kuna watu wataenda kwenye kipindi chake kuomba ushauri wa mahusiano. Teh! Teh! Teh!
 
Kumbe mwanamke ndo anahaki ya kumchamba mwanaume na asiamue chchte naanen yan aambiwe kuwa alikuwa anaweka MTO kweny kiuno afu anambinjua unahis Hugo mtot nayy anatunzwa VIP
 

Yes kijamaa kitakua kinalishwa na uyo demu
 
Kuna siku nasearch RFA bolingo time, nikasikia huyu jamaa anaongea clouds, asalalee, anabana pua na kurembua sauti, aise nilijisikia vibaya sana. Kumbe jamaa ana mke na watoto. Inahuzunisha sana. Sijui kama kuna wanaume wanasikiliza kipindi chake. Mungu anusuru hiki kizazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…