Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
God is above any title man can give.
hehe usiwa laumu hawa limbukeni...wanadhani lord ni Yesu...hehe...yaani kuna Sir, Lord na Dame...hizi tunaziita English honorifics...lugha ya heshma...watz bana!Kwahivyo Lord Sebastian Coe ni Mungu? Mitanzania bana, yaani neno Lord mnajua maana yake moja tu?
you sound like a whining dog....its surprising that even with those 'my Lord' stuff, Tanzanians bado wamekazaa macho kutazama kesi za Kenya ambazo haziwahusu ndewe wala sikio...kwa hiyo mnazipenda sio? mnatamani hata nyie mngekuwa na demokrasia namna hii..other wise why else would you be watching it in the first place?..lol! you wont see a kenyan wasting time with tanzanian proceedings...kisha hio 'my lord, my lady' its just a small statement, ina maaana hio tu ndio umeelewa? ila sikulaumu naskia mnafunzwa mpaka Chemistry kwa Kiswahili...Kemia na Hisabati duh!
hehe usiwa laumu hawa limbukeni...wanadhani lord ni Yesu...hehe...yaani kuna Sir, Lord na Dame...hizi tunaziita English honorifics...lugha ya heshma...watz bana!
haya basi nimekuelewa sasa...ila nakuomba upige search hii kwa Google...English honorifics...kisha uje uniambie ni nini umeona pale...Demu wangu ni Mkenya ndo maana nafwatilia, hivyo nchi ya Kenya inanihusu kwa kiasi fulani na naipenda pia!
Lady, Dame ni bachelorette. Hehe watz wakiskia my Lord wanajua tu hawa jamaa wanaitana Mungu wangu! 😀 😀 😀hehe usiwa laumu hawa limbukeni...wanadhani lord ni Yesu...hehe...yaani kuna Sir, Lord na Dame...hizi tunaziita English honorifics...lugha ya heshma...watz bana!
kwanza, kuna wazungu aina mbili na wanatumia Kiingereza tofauti,...kuna waingereza na kuna Wamarekani...English (UK) na English (US)...ukienda kwa waingereza (UK) utapata bado wanatumia hizi Lord, Lady, Sir etc mpaka wa leo...ila ukija kwa Mmarekani wanatumia "Your Honor..." sasa ukisema ilitumika karne ya 1900 unanishangaza sana...pengine huna exposure...ushaiskia Sir Alex Fergusson...lord Scott Disick, Lord Sebastian Coe? hawa hawaitwi hivyo bure...hii ni English Honorifics and they earned those titles kama vile madaktari wame earn kuitwa Professor ama PhD (doctor of philosophy)..Lkn hata kwa Wazungu wenyewe wameshaacha hayo mambo na wanatumia hasa Uingereza kama nostalgia tu, lkn hakuna Mzungu mwingine anyetumia huu ujinga!
kuna wzungu aina mbili kwanza na wanatumia Kiingereza tofauti,...kuna waingereza na kuna Wamarekani...English (UK) na English (US)...ukienda kwa waingereza (UK) utapata bado wanatumia hizi Lord, Lady etc...mpaka wa leo...ila ukija kwa MMarekani wanatumia "Your Honor..." sasa ukisema ilitumika karne ya 1900 unanishangaza...pengine huna exposure...ushaiskia Sir Alex Fergiuson...Lord Sebastian Coe? hawa hawaitwi hivyo bure...hii ni English Honorifics...hutaiona US but UK iko bado...isitoshe, education curriculum ya Kenya inawanafunzwa watoto kwa UK English and not US English...
hehe kweli....inakaa strange ila hio ndio official attire ya judges...wafanyeje? ila nimekuelewa mkuu...hizo mavazi ni za kitamaduni sana...waingereza wamehifadhi hizi tamaduni ambazo zilikuwa zamani wakati wa ukoloni...ndio maana polisi wa Palace wanavaa uniform utadhani ni katuni...nimekua London pia na majengo yao yanakaa ya zamani vile...yaani wanafurahi kuhifadhi hizi tamaduni...sasa ukiona mawakili wa kenya wanatumia My Lord usiwalaumu, ni mafunzo waliyopata baada ya mkoloni kuondoka Kenya...ukiangalia kwa makini, utatambua kuwa wale mawakili na judges ni wazee mno...walisomeshwa na mfumo huo huo wa mkoloni mwingereza...Na ndicho ninachokiongelea Waingereza wanatumia kwa sababu ya nostalgia tu au kuenzi Utamaduni wao ni kama vile kuvaa wig, Wazungu wengine wote ambao wanatumia British Common Law hawatumii na wala hawavai wig nchi kama vile Australia, NZ, AK, Kanada ingawaje ni direct descendants wa English man yaani wana English blood, sasa iweje sisi Waafrika ambao hatuna hata drop ya DNA na English man tuendeleza kuenzi? I mean, Kenya kuna mambo wangeweza kubadilisha kidogo, inaonekana so strange Mwafrika sura nyeusi halafu kavaa wig jeupe kichwani na kusema Yes my lord!
Baada ya muda kidogo tu, Kiswahili ndio itakuwa lugha ya utambulisho wa mtu mweusi. Kenyans hawana sababu ya kuongea kiswahili kibovu na kichafu namna ya kutapisha ikiwa mnasujudu KIINGEREZA, ongeeni Kiingereza tu, yanini kuangaika na lugha yetu?ila sikulaumu naskia mnafunzwa mpaka Chemistry kwa Kiswahili...Kemia na Hisabati duh!
We hujajiuliza kwanini hao Justice Maraga na wenzake wanaitwa my Lord ndani ya mahakama wala si nje ya mahakama? Kama wakili unafaa uwe makini mahakamani usije ukapoteza kesi kwasababu tu ulimpa Hakimu kijicho!
hamna shida yoyote kuzungumza na Kiswahili...mimi naipenda sana Kiswahili...ila ni vzr pia kuenda na wakati...kuna wachina ambao kwa sasa wanajifunza kiingereza sababu wanaelewa umuhimu wake hasaa kwa kufanya biashara na waingereza...ni vzr kuelewa na kuzungumza lugha zote mbili....tuienzi kiswahili na pia tujifunze kiingereza sababu ndio lugha ya dunia...sasa tufanyeje?Baada ya muda kidogo tu, Kiswahili ndio itakuwa lugha ya utambulisho wa mtu mweusi. Kenyans hawana sababu ya kuongea kiswahili kibovu na kichafu namna ya kutapisha ikiwa mnasujudu KIINGEREZA, ongeeni Kiingereza tu, yanini kuangaika na lugha yetu?
Sina hakika kama China, Korea, Russia, Japan, Germany, even SA n.k kama wanafundisha hiyo HISABATI na KEMIA kwa kiingereza ila Kenyans wanaotumia hiyo lugha bado ni masikini wa kutupwa kama sisi tu!
Eti demokrasia, server za tume ziko Europe......bado unazungumzia demokrasia?
utakuta hapo ulipo umevaa nguo na wala sio ngozi, hujakalia jiwe umekalia kit, mchana ukila ni kwenye sahani sio tawi, mkononi umefunga saa huangalii tena uelekeo wa jua, ofisini una computer 'yako', kwenye parking kuna gari (assumption) sio punda, unasimu 'kali' yenye Internet, unaishi kwenye nyumba imeezekwa kwa bati sio nyasi wala udongo, jikoni kuna microwave, fridge, oven etc...Baada ya muda kidogo tu, Kiswahili ndio itakuwa lugha ya utambulisho wa mtu mweusi. Kenyans hawana sababu ya kuongea kiswahili kibovu na kichafu namna ya kutapisha ikiwa mnasujudu KIINGEREZA, ongeeni Kiingereza tu, yanini kuangaika na lugha yetu?
Sina hakika kama China, Korea, Russia, Japan, Germany, even SA n.k kama wanafundisha hiyo HISABATI na KEMIA kwa kiingereza ila Kenyans wanaotumia hiyo lugha bado ni masikini wa kutupwa kama sisi tu!
Eti demokrasia, server za tume ziko Europe......bado unazungumzia demokrasia?
Nimeona Mahakamani Kenya kila mtu anasema ,, Yes My Lord" what is this bullshit? It sounds so fake, imekaa kama movie zile za 1900 huko!
Hivi hata Wazungu wenyewe wakiona hii si watastaajabu sana? Yaani Wakenya wachukua kila kitu 1-1 wameshindwa hata kuedit kidogo tu ili angalau iendane na mazingira?
Barbarosa your precence here would be appreciated immensely!View attachment 578126
Hivi unajua kua meno landlord linatokana na neon hilo hilo, 'lord' kwasababu ana nguvu za kukuondosha kwa nyumba...
Haji ana nguvu za kukufunga maisha, so yes, he is a lord or she is a lady justice... Ni neno la heshima...another word for lord pia ni chief...
Hauwezi ukatumia neno mheshimiwa kama unaongea na jaji mkuu, labda wale majaji wa law court, lakini pale Supreme court he is the president of all the courts of the land,