Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
huo usemi wa 'my lord' na 'my lady' ni heshima tu...hamna anayejishugulisha nayo sana...watu wanafatilia uzito wa arguments zinazotolewa na mawakili wa pande zote...ila mtz yeye ameskia tu 'my Lord' out of everything that has been said...huna hoja Barbarosa