What is this ,,Yes my Lord" ?

What is this ,,Yes my Lord" ?

The truth is just a google search away
When you are dead, you don't feel anything, the pain remains for the rest, just the same thing when u r stupid like you. Ujinga ni mzigo kwa kweli,
Swahili is Bantu man, ni Lugha ya Asili kabisa ya Mwafrica mbantu. Sisi wabantu tunaelewa hili
Sifa mojawapo ya Lugha ni kutohoa Maneno kutoka Lugha nyingine, vivyo hivyo Kiswahili kimetohoa baadhi ya Maneno kutoka Kwenye Kiarabu, Kingereza n.k.
I take back..... Yeah.. done some searching N I've seen where i was wrong in my assumptions! Let's get on with it
 
Hahah ni Waingereza weusi..hawajajikwamua mpaka sasa. Kinachoniua mbavu ni yale mawigi kwenye sura za mangedere. Uwiiii [emoji115] [emoji23] [emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Gez Ulole unaweza kuwa na hoja lakini sio sahihi kufananisha sura za waafrika wenzako na za ngedere. Kimsingi na wewe unajitukana kwa sababu sura za wakenya na watanzania zinafanana.
 
Ndugu Gez Ulole unaweza kuwa na hoja lakini sio sahihi kufananisha sura za waafrika wenzako na za ngedere. Kimsingi na wewe unajitukana kwa sababu sura za wakenya na watanzania zinafanana.
Ngedere mie nina upeo wa kuchanganua nn cha kuiga na nn cha kuwaachia Wazungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngedere mie nina upeo wa kuchanganua nn cha kuiga na nn cha kuwaachia Wazungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huwezi kuwa ngedere. Hawa viumbe wanaishi porini na makazi yao ni juu ya miti. Wewe ni binadamu kamili mwenye uelewa na kujiita ngedere ni kujikana nafsi yako. Just thinking aloud.
 
Nothing at all.

But that is if the given nation's population is homogenious enough.....in terms of cultural practices, religion, language and indeed if the country has no need interacting with the outside world. And by the outside world I am not just referring to the countries across the seas, but the immediate neighboring countries, if the given language is broadly understood in those other places as well.

English would indeed not be necessary if the local language is sufficiently rich in vocabularies necessary to confer the technical knowledge and skills in the various sciences and technologies such as Engineering and medicine; or arts; and the so called humanity topics such as Socialogy and Economics.
I assume that you're implying Swahili lacks "sufficient vocabulary to confer technical knowledge and skills".
This is just utter ignorance. You should move around some more. Come to Tanzania and let a Tanzanian professor explain to you Sigmund Freud or Karl Marx..........hivi vitu vipo...sema tu hujakutana navyo yet
 
I assume that you're implying Swahili lacks "sufficient vocabulary to confer technical knowledge and skills".
This is just utter ignorance. You should move around some more. Come to Tanzania and let a Tanzanian professor explain to you Sigmund Freud or Karl Marx..........hivi vitu vipo...sema tu hujakutana navyo yet
I'd be so absofuckinglutely interested in listening to a Swahili lecture on Sigmund Freud.

Karl Marx is rubbish. I'd rather Adam Smith.

ICT in Swahili- mavazi nyepesi na magumu?

How on earth do u explain permutation, Econometrics, calculus, gene mutation, gravitational forces, properties of chemical elements....
in kiswahili

How in hell would u explain the core concepts in medicine, IT, architecture......in Kiswahili?

I heard some Tanzanian intellectuals debating this matter on BBC Swahili Dira ya Dunia when the govt presented that controversial proposal to make Kiswahili the medium of instruction thruoght its education system, even in University.
 
utakuta hapo ulipo umevaa nguo na wala sio ngozi, hujakalia jiwe umekalia kit, mchana ukila ni kwenye sahani sio tawi, mkononi umefunga saa huangalii tena uelekeo wa jua, ofisini una computer 'yako', kwenye parking kuna gari (assumption) sio punda, unasimu 'kali' yenye Internet, unaishi kwenye nyumba imeezekwa kwa bati sio nyasi wala udongo, jikoni kuna microwave, fridge, oven etc...
So since we decided to adopt everything including religion we lost the moral authority to say "mnasujudu KIINGEREZA", swahili with its arabic touch dont impress me much..... people, lets learn some basic english, Afrikaans, french, german japanese, Dyula, zulu, maasai, si-Lozi..... lets learn e'm all!
Kwahiyo KIINGEREZA ndo kimetengeneza hivyo ulivyotaja?
 
Nimeona Mahakamani Kenya kila mtu anasema ,, Yes My Lord" what is this bullshit? It sounds so fake, imekaa kama movie zile za 1900 huko!

Hivi hata Wazungu wenyewe wakiona hii si watastaajabu sana? Yaani Wakenya wachukua kila kitu 1-1 wameshindwa hata kuedit kidogo tu ili angalau iendane na mazingira?
Hahahahaaa! You are still a little boy who doesn't even know how to articulate the "hymns" of life themselves! Hiyo ni lugha ya wanasheria. Kalagabaho! Sisiemu mkubwa weye!
 
you sound like a whining dog....its surprising that even with those 'my Lord' stuff, Tanzanians bado wamekazaa macho kutazama kesi za Kenya ambazo haziwahusu ndewe wala sikio...kwa hiyo mnazipenda sio? mnatamani hata nyie mngekuwa na demokrasia namna hii..other wise why else would you be watching it in the first place?..lol! you wont see a kenyan wasting time with tanzanian proceedings...kisha hio 'my lord, my lady' its just a small statement, ina maaana yake rasmi...
Punguza povu! Kuna watu wanasoma kupitia kuangalaia kesi kama hizi ambazo hutokea mara chache!

Halafu sisi hatutamani wala hatupendi makesi ya namna hiyo, yanapoteza hela na muda! Tunataka uchaguzi ambao ukiisha kila upande unaridhika!
 
Back
Top Bottom