Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Nilijua tu hamkosekani, wazee wa fursaBila ccm kuondoka madarakani usitarajie jipya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilijua tu hamkosekani, wazee wa fursaBila ccm kuondoka madarakani usitarajie jipya!!
Inawezekana ccm wabovu lkn mbadala wa ccm bado hakuna kwa sab waliokuwepo ni wabovu kuliko ccm. Kwa mfano mamvi ndiye ataleta madiliko? Anayetaka urais ili amkomeshe kikwete? Mtu aliyethibitishwa kuwa ni fisadi na chombo chenye mamlaka kikatiba? Au chadema chama cha kifamilia? Au cuf chama chenye makundi? Tanzania upinzani wenye uwezo wa kutawala nchi bado haujatokea.Bila ccm kuondoka madarakani usitarajie jipya!!
Tatizo sio tantrade ni sisi mtanzania mmoja mmoja hatuna mwako wa kutafuta fursa za nje na kutafuta taarifa sahihi kwa watu kama hawa tantrade. Pia ni wavivu linapokuja suala la kukidhi viwango vya kimataifa tunaona kama mzigo mzito maana tunapenda vitu rahisi na njia za mikato. Ndio maana hivi hivi vyetu Wakenya wananunua wanaboresha kukidhi viwango wanauza ulayaSiku hizi inaitwa TanTrade
Inawezekana ccm wabovu
Usirudie kuedit comment yangu plzHili ndio jibu mkuu! Hayo mengine hayana maana! Na ndio mpaka sasa tunaendelea kuona uozo na maigizo ya kutosha!! Tutangoja sana! So far nawapongeza sana India na South Africa kwa kuwa wauzaji bora wa tanzanite!
Plz = Please!Usirudie kuedit comment yangu plz
Hatuna mtaji wa kutosha wakati tunanunua mapangaboi kwa cash??1. Hatuna mtaji wa kutosha
2. Bidhaa zetu duni/Hatuziongezi thamani kukidhi viwango vya Kimataifa
3. Kizingiti cha lugha/Language barrier(Kizungu hatujui vizuri,kiarabu hatujui vizuri,Kifaransa ndo kabisaa)
4. Hatuna Middle men/women wenye udiriki, wengi wamezoea kutupiga tu humu soko la ndani
BIDHAA TUNAZO...Njombe pale kuna Apple fruits nzuri sana ila zinauzwa na akina mama kwenye mabasi na nyingine zinaoza, Mufindi Muheza kote huko kuna Matunda ya kila aina na kwingineko Tz.
Maua tunayo.
Tukuyu Parachichi mbegu bora zipo ila zinaozea chini
Nyanya Ilula zinazalishwa na eneo linasapoti kila varieties lakini hatuwezi kuuza nje etc...Elimu,Elimu,Elimu
Vyovyote rekebisha kwa kuandika ya kwako stupidPlz = Please!
Inaonyesha una akili za kiccm maana wao hawataki kurekebishwa!!
Wewe ndiye stupid maana hata kuandika hujui!!Vyovyote rekebisha kwa kuandika ya kwako stupid
Tanzanite,korosho,vinyago Nazo ni fekiMkuu ni kweli, mfano mdogo wa kitu ambacho ni kidogo, ni hivi vimfuko vidogo vya plastic vyeusi. Hata kuweka kilo ya mchele, vinapasuka.
Hii ni hoja yenye mashiko.Sina cha kujitetea kwakwel,nadhani watanzania tuna upungufu wa taarifa nyingi za muhimu kuhusu hatua mbali mbali za kufanikisha mirad kama hiyo,..watanzania hatupeani motisha,kila mtu anafanya kivyake vyake,wanaojua fursa wanafanya siri etc.pia kukwamishana katika process nzima,mfano mtu unataka kufanya kitu mathalan uchimbaj wa madin haya ya viwandan,unakuta vijij vimepewa mamlaka ya kumiliki haya maeneo sasa unapojitokeza wew kukata lesen na kukamilisha mengne,unashangaa mkutano wa kijij unakuja na kodi ambazo sio elekezi na za juu kwelkwel,kias kwamba mfanyabiashara unakimbia kwan haziko kifaida,plus una kodi ya serikali kuu ambayo ni ya lazima,siikatai ila hizi za vijij znaharib sana harakat,yan inakua kama kijij kinataka shida zao zote uzimalize wew akat wew ndo kwanza unaanza na ni mchimbaj mdogo mdogo,sasa namna hii hatufiki
Usiguse comment yanguWewe ndiye stupid maana hata kuandika hujui!!
Unapoandika ukifika mwisho weka nukta, sawa?
Mkuu Mkaruka, anzisha basi huo mjadala wa maana, na sisi tutachangia na kuisifu serikali yetu, badala ya kuiponda!.Sisi hatuna muda wa kuongelea masuala ya biashara, tunachokiweza ni kufungua M-PESA, GROCERY, MADUKA YA BIDHAA na BAA then tunafanya kazi ya kubeba mikoba ya wanasiasa na kutukana SERIKALI Mitandaoni, KUTUKANA RAIS.
* Tunaangalia MANGE KIMAMBI kaandika nini
* Propaganda gani tuanzishe
* BASHITE
* Tangu serikali ya A5 Imeanza hatuna mjadala wowote wa maana sisi wenyewe zaidi ya kuponda serikali na KUWAZA UCHAGUZI Wakati KENYA ni WAZOEFU WA HIZO KAZI TANGU UKOLONI
Hata vinyago tanzanite na korosho zetu ni fake? Stupid animal.
Kama hutaki niguse comment yako kwanini uligusa yangu? Umetumwa?Usiguse comment yangu
Huwa siedit comment ya mtuKama hutaki niguse comment yako kwanini uligusa yangu? Umetumwa?