Ndizi matoke ndo inakwaje?matoke ni nini?
Aisee kuna kipindi nilikuwa pwani,yaani kila siku ugali matembele,ukifululiza matembele inachosha ila ukizoea lazima utamiss
Tanga line tupo. Mambo ya bonde hayo.....Ugali, mchunga wa nazi, na kipande cha papa kilichochomwa. Kama pua zako ni sensitive umeula - LOL.Tanga line mpooo?
mkuu ndo msosi gani huo hebu weka hata picha