What is your favorite food?

What is your favorite food?

Mimi napenda ndizi Bukoba na Sangara mbichi, kisha unaunga na karanga wa kusagwa.
 
Mimi napenda ndizi Bukoba na Sangara mbichi, kisha unaunga na karanga wa kusagwa.

Huo mchanganyiko mzuri,kweli vyakula vyetu ni vizuri kuliko hata baga za kizungu
 
Makange ya kuku wa kienyeji na ndizi
 
yap ni kweli mkuu... ila mie nazungumzia kile kisamvu kilichoungika.., ambacho ukikiona tu tumbo latetema..
 
ugali matembele na nyama ya kukaanga

Aisee kuna kipindi nilikuwa pwani,yaani kila siku ugali matembele,ukifululiza matembele inachosha ila ukizoea lazima utamiss
 
Wali na maharage yaani ukipikwa nawahi nyumbani mapemaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Aisee kuna kipindi nilikuwa pwani,yaani kila siku ugali matembele,ukifululiza matembele inachosha ila ukizoea lazima utamiss

matembele inategemea na upishi wa mtu,,,ila ni matamu kwakweli
 
Ndizi mbichi kwa nyama plus utumbo.

Ugali sembe na vitoweo vya kutosha, pawe na samaki kdg, mchicha kdg, dagaa la nazi kdg, salad kdg nshushuie na juice ya embe fresh
 
Back
Top Bottom