What is your favorite radio station.?

Ina maana hamtaki kutaja wasafi fm kabsaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TBC Taifa, hua napenda kuisikiliza hiyo radio huku nimefyum
 
inamaana hakuna anaesikiliza tbc taifa jamani...mimi napenda sana kusikiliza tbc international
Wanaongea nini zaidi ya kusifia jiwe? Sijui hata ilipo. RTD niliipenda walikuwa wanachanganya habari, elimu na burudani. Siku hizi mh. sijui hata tbc zilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…