Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mabamba
TBCMimi radio ninayosikia naona ya kijanja ni East Africa radio iko vizuri kinoma.taja yako tuone ipi inasikilizwa Sana na Wana JF members.
90.9 chuchu fmMimi radio ninayosikia naona ya kijanja ni East Africa radio iko vizuri kinoma.taja yako tuone ipi inasikilizwa Sana na Wana JF members.
tuko pamoja.RTD... hasahasa kipindi cha cheichei shangazi
Radio Kwizera ni kiboko. Mimi napata sala ya asubuhi, nyimbo, BBC na habari kibao na mazungumzo yao ni murua kabisa. Hayana ushabiki wala nini. Nawapata through Internet.
Wanaongea nini zaidi ya kusifia jiwe? Sijui hata ilipo. RTD niliipenda walikuwa wanachanganya habari, elimu na burudani. Siku hizi mh. sijui hata tbc zilipo.inamaana hakuna anaesikiliza tbc taifa jamani...mimi napenda sana kusikiliza tbc international