What is your purpose in this life?

What is your purpose in this life?

First things first, what is purpose?
Well, swali zuri Kiranga nadhani pia ingefaa ningeanza uzi wangu kwa kushare maana ya life purpose because for i what i have seen kwa michango ya watu wachache waliotangulia wengi hawajui nini maana ya LIFE PURPOSE.

Kwa kuanzia a life purpose ni lile lengo au dhumuni kuu ambalo individual anakuwa nalo apart from all the basic things, kila mtu ana Life purpose yake, wapo walioumbwa duniani hapa kwaajili ya kutimiza jambo fulani kwenye jamii, kuwafikisha watu mahali fulani, wao wenyewe kufikia mahali fulani etc, like unafanya kazi unapata hela na kuwa na uwezo wa kupata milo na pesa za matumizi ya kila siku lakini you feel that is not enough kipo kitu ambacho kina maana kubwa sana kwenye maisha yako na ni zaidi ya vitu basic, kugundua your life purpose sio jambo rahisi, wapo watu mpaka wanakufa hawajawahi kujua kwanini wamekuja duniani kuishi, hii inakwenda beyond a normal thinking capability.

Hujawahi kukaa peke yako kukawa kuna kitu ndani ya nafsi yako kinakwambia there is something missing in your life? Wapo watu wana kazi zinazowaingizia kipato kizuri lakini from nowhere wanaamua kuacha na kwenda kufanya jambo ambalo halimuingizii hata pesa kwasababu tu linampa furaha na kumpa maana ya maisha, thats a Life purpose, ni kile kitu ambacho ukikifanya nafsi yako inakuwa na amani zaidi na kupata maana na furaha ya maisha.

Hii utaipata pale ambapo hivi vitu basic vinakuwa in surplus sasa masikini wenzangu hawawezi kuona purpose ya maisha wakati hata kupata mlo wa siku tu ni tatizo, unajikuta unaspend the rest of your life kutafuta mkate wa siku na kusahau hata kujua ulikuja duniani kufanya nini.
 
Purpose ni kusudio la kwanini upo hapa duniani na wala sio Kazi unafanya , Biashara n.k .

Ukiwa unatimiza Purpose yako kuna relief fulani utakuwa unaisikia kutoka ndani yako.

Mfano mtu Kama Nyerere alikuja katika dunia kuhakikisha anaipatia Tanzania Uhuru na alipomaliza hakuwa na mambo mengi Sana ya Ku-offer .
Thank you DR HAYA LAND katika wengi wewe naona ndio umenielewa haswaaa 👏🏽👏🏽👏🏽, thats what i meant.
 
Wewe ni mmoja katika wale waliochanganyikwa kutokana na fikra za kimagharibi na yanayofanana na hayo.

Kwanza kabisa tambua kuna tofauti kati ya PURPOSE na TARGET. Purpose (Dhumuni) It refers to the reason or intention behind an action or goal while Target (Lengo) refers to a goal or an aim that one is striving to achieve. Pupose ya kuumbwa kwako huwezi kuipanga wewe (kama kweli unaamini umeumbwa) ila malengo ya maisha yako ndo unaweza kujipangia wewe mwenyewe. Wapo watu walikuwa wanasoma PCM wakijimbia wao wanatakiwa kuwa ma-engeneer, University wakaenda kusomea uhasibu, kwenye kazi wakaangukia kuwa sales people na katika maisha wakajikuta wamekuwa wakulima (sasa wanasema wametambua purpose ya kuumbwa kwao ni kulisha watu kupitia kilimo) ...

Purpose ya kuumbwa kwako aliiamua aliyekuumba sio wewe, acha kujipangia pangia mambo na kujidanganya eti hiyo ndo purpose ya wewe kuumbwa. U don't control anything katika ku-exist kwako (toka kuzaliwa, jinsia yako, ukuaji wako na hata kufa kwako) then unakuja hapa kujinadi eti unajua PURPOSE YA KUUMBWA kwako.

None sense kabisa.
Well and good! Whats your life purpose then?? 😅
 
Purpose ni kusudio la kwanini upo hapa duniani na wala sio Kazi unafanya , Biashara n.k .

Ukiwa unatimiza Purpose yako kuna relief fulani utakuwa unaisikia kutoka ndani yako.

Mfano mtu Kama Nyerere alikuja katika dunia kuhakikisha anaipatia Tanzania Uhuru na alipomaliza hakuwa na mambo mengi Sana ya Ku-offer .
Kiranga pita hapa DR HAYA LAND ameeleza kwa uzuri sana.
 
Na Hitler purpose yake ilikuwa ni kuja kuchoma wayahudi sio? ... acheni kujidanganya. Purpose yako anaijua aliyekuumba sio wewe! ... "And I did not create the jinn and mankind except to worship Me." (Quran 51:56)

Sikulazimishi lakini kama unao muongozo kutoka kwa muumba wako according to your own belief then share hapa tuone. Lakini muache kujipangia pangia na kujidanganya kulingana na akili zenu zinazobadilika kila siku
 
Safii, ishi maandiko yanavyokutaka.
Yes, na ndio maana utaona muislamu ana muongozo wa nini na vipi afanye kuanzia kuamka mpaka kulala kwake. Kwa kuyatekeleza hayo anakuwa amefanya ibada through the day.

Sasa ikiwa wewe huna muongozo wa nini unapaswa ufanye throughout the day ni either upo katika imani usiyoijua ama upo katika imani isiyo sahihi (incomplete religion) ... hii ni kama unaamini uliumbwa lakini, otherwise uwe unaamini hukuumbwa bali ulijiumba.
 
I respect your Beliefs 🤝🏽
 
Kiranga pita hapa DR HAYA LAND ameeleza kwa uzuri sana.
Hakuna kusudio la kwa nini uko hapa duniani zaidi ya kuwa biological vehicle for a species self propagation.

Zaido ya hapo maisha yako wewe mwenyewe ndiye utayapa kusudio uyafanyie nini. Hili si kusudio lililopo la maisha yako, hili ni kusudio ambalo wewe mwenyewe unaamua kuyapa maisha yako.
 
🤝🏽
 
Mimi bwana, nina mtazamo tofauti kidogo.

Naona kama kutafuta dhumuni la maisha yako kunakufanya uwe 'mtumwa wa kutafuta dhumuni la maisha yako'.

Hilo dhumuni halipo,

Wewe fanya tu yale yanayokufurahisha.

Sharti tu yale muhimu kama kipato, afya nk, uyazingatie.
 
Well, swali zuri Kiranga nadhani pia ingefaa ningeanza uzi wangu kwa kushare maana ya life purpose because for i what i have seen kwa michango ya watu wachache waliotangulia wengi hawajui nini maana ya LIFE PURPOSE.

Kwa kuanzia a life purpose ni lile lengo au dhumuni kuu ambalo individual anakuwa nalo apart from all the basic things, kila mtu ana Life purpose yake, wapo walioumbwa duniani hapa kwaajili ya kutimiza jambo fulani kwenye jamii, kuwafikisha watu mahali fulani, wao wenyewe kufikia mahali fulani etc, like unafanya kazi unapata hela na kuwa na uwezo wa kupata milo na pesa za matumizi ya kila siku lakini you feel that is not enough kipo kitu ambacho kina maana kubwa sana kwenye maisha yako na ni zaidi ya vitu basic, kugundua your life purpose sio jambo rahisi, wapo watu mpaka wanakufa hawajawahi kujua kwanini wamekuja duniani kuishi, hii inakwenda beyond a normal thinking capability.

Hujawahi kukaa peke yako kukawa kuna kitu ndani ya nafsi yako kinakwambia there is something missing in your life? Wapo watu wana kazi zinazowaingizia kipato kizuri lakini from nowhere wanaamua kuacha na kwenda kufanya jambo ambalo halimuingizii hata pesa kwasababu tu linampa furaha na kumpa maana ya maisha, thats a Life purpose, ni kile kitu ambacho ukikifanya nafsi yako inakuwa na amani zaidi na kupata maana na furaha ya maisha.

Hii utaipata pale ambapo hivi vitu basic vinakuwa in surplus sasa masikini wenzangu hawawezi kuona purpose ya maisha wakati hata kupata mlo wa siku tu ni tatizo, unajikuta unaspend the rest of your life kutafuta mkate wa siku na kusahau hata kujua ulikuja duniani kufanya nini.
Katika wasiojua maana ya neno purpose wewe ni mmoja wao, na upo hapa kufundisha watu usichokijua.

Anayemiliki madhumuni ni mtenda sio mtendewa, ili mtendewa aelewe madhumuni ni lazima afahamishwe na mtenda. Kama wewe umepanda miti nyumbani kwako ulipanda sababu kadhaa i.e kivuli, matunda n.k wewe ndo unayemiliki dhumuni la kupanda kwako hiyo miti sio miti ijisemeshe yenyewe ilipandwa ili ivutie nyuki.
 
Okay.
 
Back
Top Bottom