There is no doubt mkuu Tz need to improve on quality of service kama tunataka kucompete effectively...lakini hawa wakenya wasikudanganye kwamba they are better off in their hotels. Nimewahi kukaa hoteli inaitwa 69(Nadhani aliyeanzisha hii thread anaifahamu), ipo katikati ya Nairobi, chumba nilicholala was about 70,000 shillings za TZ. Mkuu hiyo hotel haikuwa na maji ya moto, mataulo ni yananuka uvundo, Tv ilikuwa ni ya nchi 14 ina channel moja tu, mablanketi ilibidi niyatoe cos yananuka harufu mbaya. Then nimekaa hoteli nyingine ipo karibu sana na shuttles za Nairobi-Arusha...ooh my word, i have never slept in a horrible hotel like that in my life time, ni about 40,000 Tshs. Net zake zilikuwa nyeusi tii kwa uchafu, i just could not use them,kitanda na room was very tiny, hilo bafu sasa, sink la kuogea was very dirty i decided to use sink la kunawa kuwash my body. Sasa ukienda kwenye miji yao midogo kama Kericho, Kisumu, nk, hotels zao ni kiwango cha chini sana. Hapa nazungumzia hoteli za watu wa kati kwa kweli ni aibu tupu. Sasa nilishakuwa na wageni kutoka Kenya walinambia niwatafutie hotel Dar nikawatafutia za viwango vya 30-40,000 Tshillings, the guys could not believe, the hotels were immaculate and absolutely plush...! Na walisema kwamba you will be more comfortable kukaa kwenye hotels za Dar for that amount of money than anywhere in Kenya, even in a village...!
Sasa kwenye service there is no doubt kwamba we really need to improve and i see some improvements, lakini ndugu zangu ambao hamjafika Kenya please do not think you will find magic in there. Nairobi ni chafu...! just one km radius ya city center utakuta mitaa michafu ambayo watu wanakojoa kwenye kuta za nyumba na kunanuka you can not imagine...!
Ukilinganisha hoteli za Tanzania na Kenya utagundua kuwa 5 star hotels yes Kenya wanazo na pia services ni nzuri, but hizo sana sana wanakaa watalii matajiri sana or executives, hoteli za kiwango cha kati is just a shame...lakini Tanzania na hii ni pamoja na mikoani kuna hoteli nyingi sana ambazo ni nzuri na za kiwango ambacho ni affordable and you will be more comfortable compared to kENYA where if you want to be comfortable you have to spend 100 USD plus kuenjoy a good hotel.