Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
- Thread starter
- #21
U-xpert wake dunia inaukubali,kama wewe huukubali ni wewe.Haya aliyoandika Njoroge ni umahiri ambao Mbowe ataota tu.Kama yupo Magufuli ambae ni Lab expert basi atakuwa ni Magufuli tofauti na huyu ambae unfortunately ni Rais wa Tanzania.