What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See

What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See

Jones sasa hivi anatakiwa kulipa mamilioni ya dola kwa sababu ya ujinga wake
Nilivyoona mmoja wa watu waliokuwa quoted kwenye hii article ni Alex Jones of InfoWars.com nikajua karibia yote yaliyoandikwa ni upumbavu mithili ya fikra tapishi inukayo ujinga. Hivi mnamjua huyu jamaa? Kwanza ni mtu mshenzi na racist vibaya sana, ni conspiracy theorist ambaye mpaka leo bado anaamini Obama alizaliwa na kukulia Kenya na ni illegitimate president wa USA.
 
Back
Top Bottom