What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See

Usidanganye, hata wajinga watakuona wewe ni mwongo mwenye makengeza.
Kwanza hata hukueleza kwa nini iliondolewa library - hilo ndilo ungepashwa ulizungumzie, siyo hizo hadithi nyingine.
 
Kalamu hivi kwako Magufuli hana jema hata moja?What exactly is the problem.You are either a CHADEMA fanatic au alikupitishia rungu.To some of us,this is the strong man we have been waiting for.A man who can stand up against the Western establishment and all kinds of evil and injustice in our society.
 
Magufuli nadhani atakuwa ana nia njema na nchi yetu jamani? Au mnasemeje members wenzangu? Yaani jamaa namuona anakuja kabisa.
Jane we need critital thinking katika hili swala la C-19.Kama wewe ni critical thinker kama Rais wetu,listen to the following clip.A critical thinker sees something very wrong and unusual in the C-19 saga,and very wrong indeed.Listen to it before it is removed,maana siku hizi ni YouTube ni censorship mtindo mmoja.


 
Laiti ungejua critical thinkers wanavyoiona C-19,wala usingetoa povu ulilolitoa!Hebu sikiliza clip ifuatayo ili uione C-19 in its' true colours.


 
Alikataa vipimo vya korona halafu anasema mtoto wake ana corona alipimwa na vipimo gani?
Mbona unang'ang'ana na mtoto wake huangalii maneno muhimu aliyosema Disinfectants particularly Fumigation doesn't kill Covid-19 Nyongeza unawia hand soap imeandikwa Antibacterial is that Antivirus?shida kusoma Art subjects halafu mnakuwa wajuaji.
 
Mbona unang'ang'ana na mtoto wake maneno muhimu aliyosema Disinfectants particularly Fumigation doesn't kill Covid-19 Nyongeza unawia hand soap imeandikwa Antibacterial is that Antivirus?shida kusoma Art subjects halafu mnakuwa wajuaji.
Tulishayajadili hayo mbona au huwa huingii mara kwa mara humu
 
Call a spade a spade,Kenyatta is a bogus President.

Not real to my friend Uhuru. He is not a bogus as you say. He has got some bad character, but he is unique in his own ways.
 

Nikiri kuwa mimi ni CCM, na kuna mengi ya Mh. Magufuli ambayo siyaungi mkono. ILA kuna vitu vingi anavifanya na vina mantiki kubwa sana.

Wengi tunaona labda Rais wetu anakosea na kukurupuka kwa sababu tu tumehadaika kwa yale yanayofanywa na wengi kuwa ni sahihi. Wakati mwingine inatupasa kwenda kinyume, na hii ndio inatutofautisha na wengine.

Uzuri ni kwamba Rais na wizara ya afya wamehimiza mara nyingi kufuata hatua muhimu za kujilinda...na wamekwenda mbali zaidi ya hizi hatua za kisayansi na kutaka watu warudi kwenye njia za asili kama mitishamba, na kuitaka nguvu ya Mungu.


Tusipuuze NYUNGU na MADAWA YA KIENYEJI, haya ndio yaliyowasaidia babu zetu na hata sisi leo hii tupo.

Je, wajua kuwa babu zetu walikuwa wanafanya oparesheni ya kichwa huko zamani na watu walipona na kansa na uvimbe kwenye ubongo? Tembelea ODDA Documentary ujifunze
 
Not real to my friend Uhuru. He is not a bogus as you say. He has got some bad character, but he is unique in his own ways.
Yeah,he is unique in being a stooge of the West.
 
'areafiftyone'
Hapa umekuwa 'rational' kidogo kwa mara ya kwanza kabisa tokea nikusome humu JF.

Umeuliza maswali ambayo nigependa kuyajibu bila hisia kwa sababu ni maswali mhimu. Kwa wanaonisoma humu jukwaani wanafahamu majibu yangu kwa maswali yako, kwa sababu huyaeleza mara kwa mara.

1. Swali lako la kwanza unauliza: "Kwani Magufuli hana jema hata moja?" Anayo mema mengi, na sio moja tu. Tena naweza kukwambia bila wasiwasi wowote kabisa kwamba inawezekana Magufuli akawa 'Mzalendo' hasa anayelitakia taifa lake mafanikio sana.
Anachokosa ni kujua na kuzitumia njia sahihi kuifanyia Tanzania na watu wake mema hayo. Matokeo yake anajikuta anaharibu hata hayo mazuri mengi aliyonayo.
Hapa ninaweza kukupa mifano mingi, lakini ngoja nisifanye hivyo kwa sasa. Ukitaka mjadala, tutalijadili hili kwa kina chake.

2. "What exactly is the problem. You are either a CHADEMA fanatic au alikupitishia rungu". Jibu hapa ni rahisi sana. I am a TANZANIA fanatic with no apology to anyone. Again, I will not go into discussion about CHADEMA at this point, but should you want, I will fully explain that aspect. But let me be clear, I have no association with any political party for now or in the future. However, as for now, any other party is likely to be better than CCM for Tanzania.

3.If your support for Magufuli is for the reason of him being "strongman standing up against the Western establishment, then that is a highly misguided reason. We have seen better 'strongmen' who have shaken that establishment to their core. Magufuli has no coherent approach in tackling what you call "evil and injustice in our society"; again, I can show you several examples to explain this should you want to engage in a discussion on this.
 
Ahsante kwa majibu yako ingawa yanaonekana kuwa mapesi sana na la CDM obviously umeli-evade.Any way isiwe tabu sana,hebu nitajie strong man mmoja sasa Africa ambaye tuna weza kusema he stands up against the Western Establishment.Be frank.
 
Ahsante kwa majibu yako ingawa yanaonekana kuwa mapesi sana na la CDM obviously umeli-evade.Any way isiwe tabu sana,hebu nitajie strong man mmoja sasa Africa ambaye tuna weza kusema he stands up against the Western Establishment.Be frank.
Unataka nisemeje au nifanye nini ndiyo ujue kwamba ninayoandika hapa ndiyo ninayoyaamini?
Nimekwambia, kama unataka tunaweza kujadili hapa na katika mjadala huu tunaweza tukafikia sehemu tunazokubaliana na kutokubaliana.

Hili swala la u'strongman' Afrika unaliweka au kulielewa vibaya. Kutokubaliana na matakwa ya hao watu kunahitaji uelewa wa mifumo yao, uwe na uwezo wa kujenga hoja vizuri kuonyesha upotofu wa hayo wanayoyasimamia au kutaka kuyaeneza kwako. Sio swala la kutumia mabavu kama anavyofanya Magufuli. Unajua vyema sana wao wanayo maguvu mara dufu, na kama wakiona anawabughudhi hakuna kinachoweza kuwashinda au kuwazuia kufanya hivyo.

Magufuli hana mbinu, na hana uwezo wa kujenga hoja akazieleza kwa watu wakazielewa; nadhani udhaifu huu ndio unaosababisha mara nyingi aonekane kuwa mtu wa maguvuguvu na mabavu katika kila analofanya, hata kama ni jambo jema.

Kuhusu CHADEMA, nieleze ni kipi nilichokwepa juu yao. Unataka nieleze vipi ndio uelewe kwamba sifungamani na chama chochote cha siasa? Nieleze. Nitukane viongozi wao au vipi?

Kuhusu majibu mepesi, hapo pia sikuelewi unataka nikujibu vipi ndio uone kwamba ninayoandika ndiyo ninayoyaamini kwa dhati ya moyo wangu.
 
Hujanipa jibu,unazunguuka tu kama pia.
 

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Hujanipa jibu,unazunguuka tu kama pia.
Unarudi kule kule kwenye upuuzi wako wa siku zote. Hivi ni ugonjwa au?

Unataka nikupe jibu gani, kuwa ninakubaliana na wewe, hata kama sielewi ni kipi hasa unachokisimamia? Kumwabudu Magufuli?

Hivi huwezi kuwa na akili za kujadili jambo ukaeleweka?

Bure kabisa.

In fact you are exposing more than you expect to reveal by such demagoguery statements such as the following:
"---kama wewe ni 'critical thinker kama Rais wetu,---. Acritical thinker sees something very wrong and unusual in the C-19 saga---"; but you do not explain that "something unsual", and you even don't bother to explain the "critical thinking" you are praising!
 

Wewe taabu sana. Mengine sijui lakini Malimao na Tangawizi na Garlic na Onion ni mojawapo ya njia ya kuweaken huyo virus as zinaongeza Vitamin C inaongeza nguvu kwenye Kinga ya mwili wakati huo na Zinc ambayo inastop kuzaliana kwa virus na vilevile inazuia blood clotting kumbuka ( Vitamin C inongeza Nguvu ya ulinzi na Zinc weakening the spread of virus hiyo combination unaionaje?) so, this herbals are fantastic healer. Endelea kutoa macho na kuparaza mdomo wakati wazungu wanadharau hizo dawa zetu wanakufa kwa maelfu kwa siku na ww itakuwa mmoja wao.
Hiyo ya kuomba impossibles ni utani wako tu lakini ya kutumia herbals is scientific myfriend

Hiyo ndio Watanzania wanatumia kwa kasi ya ajbu na inaleta majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…