DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kwa hiyo nyinyi wadanganyika mna uchumi mdogo lakini wananchi matajiri ?Labda nigerians wa nyanya ako,we unadhani utamwongopea nani dunia ya leo??..uchumi mkuuuubwa wananchi masikiiiiini,sasa ndo uchumi gani