What should I do?

nilijua tu, hapo ukiamua kuacha viwanja, mvinyo, pool parties utaona watu watapungua

ni ngumu sana ukute mtu hana mambo ya viwanja afu ana circle kubwa kubwa
Sasa ungejua asilimia kubwa ya circle yangu sio watumia vyombo.
Mpk wananiulizaga nimejifunzia wapi
Washanikataza niache, sisikii.

Wapiga vyombo ni wachacheee mno
Na sio marafki zangu
Wale wa shida na raha.
Ni wana tu kazi na mishe zimetukutanisha, unakuta wkend ka sms kanakuja, uko wapi? Tufike sehem flani basi.

Ila wana wangu wa faida huwakuti Pillars,, ni watu wa Kanisani balaa 😃😃
 
hapo sawa....

wengine ndo kama tunaanza upya
 
nilijua tu, hapo ukiamua kuacha viwanja, mvinyo, pool parties utaona watu watapungua

ni ngumu sana ukute mtu hana mambo ya viwanja afu ana circle kubwa kubwa
Af mentioned yrs ndo nilikuwa namalizia na kutoka chuo. So nilikuwa nanukia bado uanafunzi. Natoa wapi potential circle zaidi ya ndugu?

Hapa enyewe ukiniuliza rafk wa primary na sekondary sijui waliko 🤣🤣
Chuo ndo at least nna namba namba za watu
 
Hapana, shida sio kupigiwa simu. Napenda kupata connections😍
Shida ako nishaijua 🤣🤣🤣

Kwahiyo wewe shida ako koneksheni za kazi?? Unataka uwavune marafiki 😂😂😂

Sa skia acha kuweka mategemeo makali
Yatakuumiza

Si upo dar? Kuna kazi ya miezi mi3 hapo Masaki... fanya fasta uje kuchukua namba
Naimani utaweza. Kasake konekshenn mpya huko. Ila kamwe usidate na watu wakazini
 
usijali sasa nimeokoka😂
Hajatokea bado wa kuniharibu 🤣🤣
Yan we sio kalevi, mtu anakwambia unywe nawe unakunywa? Kisa ni friends zako?
Huo ni unazi, kuna rafiki angu mmoja.. meza zote mtajaza vitu mpk moshi, ye anaitisha fanta zake 3 🤣🤣 humuonjeshi 🍺hata kidogo... hivyo ndio mtu anapaswa awe, sio kukokotwa tu
 
oldie kama oldie😂

naona unanitemea madini😂

acha niyachukue
 
Anza kuangalia tabia zako kama zinakizi kujihusisha na watu wengine, andika madhaifu yako yanayofanya uchukie kuchangamana na watu,fanya mambo rahisi yanayovutia watu inaweza kuwa biashara au mambo yakawaida kijamii misiba,sherehe,vikundi vya kijasiliamali, makundi ya mitandao ya kijamii inapobid ili kuimalisha uhusiano Bora kibiashara,kirafiki,
Tembelea ndugu,majiran na marafiki,
Jihusishe na vikundi vya michezo,kwaya na matamasha mbalimbali,
NB: wkt mwingine tabia yako inaathiriwa na mitazamo chanya ambayo inapelekea ujitenge na watu, ukumbuke pia huo ni ugonjwa,
Ushauri: kwakuwa mabadiriko ya changamoto ya akiri ni hatua,hivyo anza kujizoesha kwakufanya mambo magumu yatakayohitaji msaada kutoka Kwa wengine ili ujifunze umuhimu wa uwepo wa watu wengine.
 
Kama Unahitaji watu tisini ni wengi sana.Wewe Tafuta Watu 4 Excluding Ndugu na Marafiki wa Karibu.Ukiwa na watu 4 basi unayo Connection ya Uhakika.Ila anza kwa kutafuta Mtu mmoja tu ili uone kimbembe cha Kupata JUST one PERSON sembuse kupata watu 90.

NB.Unapotafuta watu/connection hakikisha na wewe ni mtu/Connection.
 
Iko hivi,swala la kutoboa kimaisha sio lazima uweze kuinteract na watu wengi ingawa kwa kiasi flani inasaidia.Kuna watu ambao ni introverts ambao kama ni marafiki anao mmoja au hawazidi hata watano lkn mambo yake ni makubwa sana,na kuna watu wana marafiki wengi sana lkn yeye kila siku mtu wa kupiga mizinga.Kwahiyo kufanikiwa ni NEEMA tu kutoka kwa Mungu,ila usiache kupambana na wala usikate tamaa kwa kile unachoamini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…