What story dont you like to hear from Men?

sipendi wanaume wanaotafuNa tafuna ovyoo
Sipendi wanaume wanaotukana ovyo (kwenye gari,daladala,bar etc)
Sipendi jamaume lizima linamuita mtoto mdogo mchumba
Sipendi wanaume yuko na mwanamke,dadake,mamake,kwenye gari mijicho yooote nje anaangalia mwanamke mwingine
Sipendi papaaaaa!
Sipendi mwanaumekutwa kuchwa mihasira tu isiyo na msingi au ukali kupitiliza
Sipendi mwanaume mwenye tambi kuuuubwa,kitambi kiwe japo kidogo cha kishkaji,sio kile cha mimba yangu na tambi lake mmmmh tofauti zero

WILL BE BACK WITH MO SIPENDIIIIIIIIIII,COZ SIPENDI ZOTE HIZI,NA MM NAJITAHIDI NISIWE NA HAYO MASIPENDI ILI TUWE LEVO.
eeeeeeenhe endelea,nakusikiliza.......
 
Hahahaha weee mama kayayiii unatafuta ugomvi na wenye vitambi ngoja waje hapa lol
 
Nimesema tambi cha kishkaji pouwa so jitambi aku na mm mtoto wa watu eeeh?ata wakija kama muhusika wangu ntamwambia sipendi na kama ananipenda kweli basi atafanyia kazi ushauri itakuwa vizuri zaidi ila
Sipendi mwanaume asiekubali kushaurika na kukubali mapungufu yake.
Hahahaha weee mama kayayiii unatafuta ugomvi na wenye vitambi ngoja waje hapa lol
 
Kama kile cha mwenye kwashakoo au kama kile cha mwenye utapia mlo sio mbaya
 
Dina;Si angeenda kwa huyo Rose? Hii inakera haswa!

Bado yule ambaye kila mnachoongea akamuulize mama yake! Kiasi kwamba ukishauri kitu utasikia, 'ngoja ntacheki na mama'.Hapa nachoka kabisa. Akina baba, trust me, hii biashara ndio mnafanya gap kati ya wake zenu na mama zenu linakuwa kubwa kila kukicha.

Huyo ni mmuo tu ndo ana tabia za hivyo za kuuliza mama yake. Umeona ni wanaume wangapi wanaenda kuuliza/kuomba ushauri kwa mama zao? Sijawai kusikia jambo kama hilo zaidi ya kusikia kutoka kwako. Huyo wako ni wa pekee kwa hiyo tabia.
 


Dina hii ni kiboko ya zote........

yaani akacheki na mama....

huyu itakuwa hajala kile kiapo...."UTAACHANA NA MAMA YAKO NA BABA YAKO NAWE UTAAMBATANA NA MKEO NANYI MTAKUWA MWILI MMOJA
"
 


Pearl, Pearl, Peeeeeeaaaaaarllllllll.......................Watch out......hahahaaaaa

Haya Bwana tumekusikia......hatutatafuna tena mabigijii na bazoka kwenye gari kama vile tunatafuna mipira ya manati
 
Sipendi mwanaume/mwanamke anaetupa uchafu barabarani
Sipendi mwanaume kutwa anashinda bar
Sipendi mwanaume Bar watu wanajichana hme watoto full dagaa tembele daily
CMING BACK SOON


Pearl, Pearl, Peeeeeeaaaaaarllllllll.......................Watch out......hahahaaaaa

Haya Bwana tumekusikia......hatutatafuna tena mabigijii na bazoka kwenye gari kama vile tunatafuna mipira ya manati
 
1. Sipendi mwanaume mwenye kujisifia
2. sipendi mwanaume anayeongea kama cherehani ..
3. Sipendi mwanaume ambaye maongezi mengi ni kudharau wanawake
4.Sipendi mwanaume anayekonyeza konyeza ovyo utadhani anaumwa macho
5.sipendi mwanaume anayenuka mdomo ..hapendi kupiga mswaki
6.Sipendi mwanaume anayenuka kikwapa
7.Sipendi mwanaume mvivu
8.Sipendi mwanaume anyelalamika ovyo badala ya kufight
9.Sipendi mwanaume kila ukikutana nae yeye ni matatizo tu hana hata siku moja ya furaha
10.sipendi sipendi sipendi
 
Sipendi mwanaume/mwanamke anaetupa uchafu barabarani
Sipendi mwanaume kutwa anashinda bar
Sipendi mwanaume Bar watu wanajichana hme watoto full dagaa tembele daily
CMING BACK SOON
Sipendi mwanamke ambaye yeye kila wakati yeye yuko na mashosti zake lol
 
Dah!! Hivi leo nimepiga mswaki kweli
 


Correction pleaze ...... hapa kwenye red huyo sio "MWANAUME", huyo ni "WA KIUME"....hahaaaaaa, lol!!
 
Dah!! Hivi leo nimepiga mswaki kweli

TF umenifanya nishikilie mbavu hapa.......hizi post zitatembeza watu mikono wameikunja nyuma na midomo wamesiliba supa gluu.....ni changamoto safi kwetu
 
mi sipendi mwanaume mwenye stori za kujisifia au mwanaume mwenye masifa, napenda mwanaume mwenye kujua majukumu yake kwangu ila asinichunge
 
mi sipendi mwanaume mwenye stori za kujisifia au mwanaume mwenye masifa, napenda mwanaume mwenye kujua majukumu yake kwangu ila asinichunge


Mwe hivi kumbe haya majisifa yetu tunayojua mtayapenda kumbe hamna kitu........mmhh......
 
sipendi kusikia mwanaume anajisifia anajua game halafu mkikutana kazi kupakana majasho na kuhemeana hana lolote la ziada
 

beijing conference..
 
beijing conference..


LOL...Ndetichia kusoma post kwako koote umeona beijing conference ndo imekuvuta hisia.... Au nawewe ndo wale wale wa kny thread hii? Usinifanye niite majeshi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…