What to do in Arusha and Moshi

What to do in Arusha and Moshi

Moshi nenda majimoti hotspring utaogelea na kufanyiwa massage na samaki kwenye natural pool mfano wa aquarium, people from all around the world are visiting the place pamoja na waterfalls
Yeah, ni sehemu nzuri ya kutembelea ukiwa Rundugai (Kikuletwa Cultural Heritage), nimefika pale mwaka Jana. Pia ukitoka pale unaweza songa mbele kidogo na kutembelea Daraja linalonepa la Mijongweni. Ukiwa na roho mdogo huwezi cross juu ya daraja lile maana linacheza pia maji yanayotembea kwa kasi unayaona chini yako mita 50 down.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom