Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Yeah, ni sehemu nzuri ya kutembelea ukiwa Rundugai (Kikuletwa Cultural Heritage), nimefika pale mwaka Jana. Pia ukitoka pale unaweza songa mbele kidogo na kutembelea Daraja linalonepa la Mijongweni. Ukiwa na roho mdogo huwezi cross juu ya daraja lile maana linacheza pia maji yanayotembea kwa kasi unayaona chini yako mita 50 down.Moshi nenda majimoti hotspring utaogelea na kufanyiwa massage na samaki kwenye natural pool mfano wa aquarium, people from all around the world are visiting the place pamoja na waterfalls
Sent using Jamii Forums mobile app