Nicas Mtei asante sana kwa hiloHuwa nafurahìa sana.. Ni mfano wa kuigwa kwa kweli. Nimejifunza mengi toka kwako na ntayatumia. Ntafuata nyayo
gfsonwin asante sana kwa kuonekana na kusema yaliyo yako
Nicas Mtei asante sana kwa hilo
karibu kwa wakati wowote
gfsonwin asante sana kwa kuonekana na kusema yaliyo yako
swali la kizushi wewe ndo mwenza wa FirstLady1??
swali la kizushi wewe ndo mwenza wa FirstLady1??
Swali kuntu hli
hahhahahahh! baba anapaswa kuwa msemaji wa familia atiii!!!!!!!!!
haya kwakua umetaka yeye aje aseme namita FirstLady1 aje atujibu swali hili.
hahhahahahh! baba anapaswa kuwa msemaji wa familia atiii!!!!!!!!!
haya kwakua umetaka yeye aje aseme namita FirstLady1 aje atujibu swali hili.
Mbona una haraka sana? Subira yavuta kheri. Halafu anakuangalia jnc unavyotaka kumjua.
Mama ndo msemaji wa familia? Jibu swali. Uckmbie jukumu
I guess i know her
Namwambia siri zote na anajua mienendo yangu yote so hata hili analijua na anaweza kulisemea Nicas Mtei
Ohoo. Ila kuna ugumu gan wewe kujibu?