Sina uhakika lakin sidhani kama ndiye..Lkn wa FirstLady1 yupo hapa hapa jeiefuKwa hili gfsonwin naomba aje hapa ajibu mwenyewe nimempa mamlaka hayo FirstLady1 hebu njoo huku kuna maswali ya kiuchokozi kutoka kwa gfsonwin na Nicas Mtei unatakiwa uyajibu
number oneeeeeeeeeeee (1)
Ohhhh.Hongera sana.. Na Mungu awalinde
Zion Daughter bora umenisaidia maana hawa gfsonwin na Nicas Mtei maswali yao ni ya uchokozi wanataka tugombane na FirstLady1 bureSina uhakika lakin sidhani kama ndiye..Lkn wa FirstLady1 yupo hapa hapa jeiefu
Namba 7
Mkishamaliza kujitambulisha kama matunda, nawasubiri mezani niwatengeneze juisi
mbona kiherehere sana msubiri atakuja na jibu soon wala usiwe na shaka utajua tuu kama ni mhusika Nicas Mtei
Sina uhakika lakin sidhani kama ndiye..Lkn wa FirstLady1 yupo hapa hapa jeiefu
Kwa nn Mr Rocky hajakanusha mwenyewe?
kweli Baba V hapa sioni hata mang'ang'a wala mafwurisi.