WHAT TYPE OF FRUIT ARE YOU?..wewe ni aina ya tunda ?

akya mama tena mwez huu nazuia msahara wako.................dah! maden yamekuwa mengi sana
ahahahhhahahhahahhahhaha sinifanyie hvo banaaa!
ila poa tu na vihenke penke nilivonavo we zuia tu mkuu!
lol!
 
yani mi hata sijielewi nilipo labda Pera,Firstlady nijuze kuhusu hilo tunda pera mie!
 
Hahahah...yaani nina hamu na hayo matunda si mchezo!!! ngoja nisubiri subiri maana mwenda bure si sawa na mkaa bure

Hahahahahhh unalo patner . . .hayo matunda yataliwa na kufaidiwa na wenye nayo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…