WHAT TYPE OF FRUIT ARE YOU?..wewe ni aina ya tunda ?

Tunda langu mimi bado halijavunwa.
 
Tunda langu mimi bado halijavunwa.
:coffee:
 
Hahahah...yaani nina hamu na hayo matunda si mchezo!!! ngoja nisubiri subiri maana mwenda bure si sawa na mkaa bure


Hahah we jifariji tu!

Mfano Arabela hapo anakwambia ni MANGO . . .unadhani hiyo ni zawadi ya nani??LOL
 
Last edited by a moderator:
Hehehe hata maganda nitayatumia si ni sehemu ya TUNDA eenh.... tena nasikia ndio kuna virutubisho vingiiii


Hahah we jifariji tu!

Mfano Arabela hapo anakwambia ni MANGO . . .unadhani hiyo ni zawadi ya nani??LOL
 
Last edited by a moderator:

4 inahusika saaaaaanaaa!!!!!!!
 
Hahahah...yaani nina hamu na hayo matunda si mchezo!!! ngoja nisubiri subiri maana mwenda bure si sawa na mkaa bure

Daddy hapo umeniangusha saana... Naomba ufute kauli zako zooote na utaje NO. 1 KWA FURAHA!!!!!! :becky:
 
Dear daughter,
Hapo juu hakuna tunda hata moja linalowakilisha, Happily married with kids, ndio maana sikuchagua namba 1, hata mama naye si unaona kawa kimya...!!!

Daddy hapo umeniangusha saana... Naomba ufute kauli zako zooote na utaje NO. 1 KWA FURAHA!!!!!! :becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…