What went wrong with Harmonize

Mjuba ndio anaumaliza mwendo ivo, Tutarajie kusikia Rais fulani kamnusuru na Madawa na kaona ampeleke sober
 
Harmo na diamond wametumika sana kwenye show za bure hapa juzizuzi. " hawana mpya tena ..... hakika umaarufu wao utabaki humuhumu mitandaoni., km hawaamini wajaribu kufanya live show....

& things will never be the same again. [emoji121]
 
Harmo na diamond wametumika sana kwenye show za bure hapa juzizuzi. " hawana mpya tena ..... hakika umaarufu wao utabaki humuhumu mitandaoni., km hawaamini wajaribu kufanya live show....

& things will never be the same again. [emoji121]
Kwa hiyo wakiimba live show ndio hawajashuka.Manake tunawaona FM Academia,Banana nk wanaimba live lkn mapromota hawawaiti kwenye show zao.
 
Mjuba ndio anaumaliza mwendo ivo, Tutarajie kusikia Rais fulani kamnusuru na Madawa na kaona ampeleke sober
Tamasha aliloahrisha ndo ilikuwa chance pekee ya kufanya counterstrike, kudelay imekuwa death sentence....
 
Ngoja nichomekee hapo hapo.

Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Wasanii wa Congo nu kama hawa wa kwetu, kazi kujipendejeza kwa watawala nchi imevurugika wanakimbilia Ufaransa.

Leo wajokongo wanaoishi Ufaransa wako tayari kuandamana kuzuia kuzuia matamasha ya wasanii wa Congo wakiwatuhumu kishirikina na watawala kuvuruga nchi yao
 
Harmo ni talented ila ana kwazwa na mambo mawili:
1. Kuiga WCB - Kila anachofanya anataka kuiga au kushindana na WCB. Inabidi aende kivyake na atengeneze identity yake.

2. Anajali sana quantity kuliko quality. Anafanya mambo mengi sana kwa wakati mmoja kama kutoa ma track mengi, ma album, kusaini watu nk ilhali ubora upo chini.

Hivi sasa ngoma ya Harmo inayopigwa kwenye weekend night shows za Uganda na Kenya ni "Fire Waist" (x Scales). Hizi zote lukuki mpya hawazijui !!

Kwa kifupi atulize kichwa ajali quality game ataimudu. Harmo ni mtu muhimu sana kwenye hii game.
 
Amonaizi amefanya kama alichokifanya neymar kutimkia psj kutafuta ufalme wake mwenyew kufuta regine ya ronaldo na messi
Halafu anaenda PSG kufunikwa na bwanamdogo Mbappe[emoji1][emoji1]
 
[emoji122] ni kweli kabisa.
 
Dharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.

Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujulikana.

Hii interview hapa chini inaniambia kabisa Harmonize inaweza kumchukua muda kufanikiwa.

Hasa baada ya kutoa wimbo wa Ushamba.

 
Ngoma ya Ushamba imekuwa mistake kubwa Sana , kibaya zaidi WCB wametoa mawe Sana msimu huu, ngoma ya Rayvanny , fall ya Mboso pamoja na whaa , na hyo tumewasha ya Tgo ndo kabisaaaaa itakuwa ngumu Kwa kondeboy kufanya counterstrike hasa kipind hiki ambacho yupo under high criticism Kwa kumshambulia Diamond waz waz kwenye wimbo wa Ushamba
 
Ameshapanic
 
Hivi label yake bado ipo au ilishasambaratika mbona wale wahuni wako kimya au ndio kula kulala.

Au pengine anajipigia kwanza promo yeye wengine baadae.

Mistake kubwa kondeboy aliyoifanya huu mwaka nikubeba hao majama yaani amejichimbia shimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…