Huo Ni ushambaJamn mm natka kujua kua kuimba kifua wazi ni aina ya fashion au ni jambo ambalo lipo kweny sanaa maan hamonize na shda ane apo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo Ni ushambaJamn mm natka kujua kua kuimba kifua wazi ni aina ya fashion au ni jambo ambalo lipo kweny sanaa maan hamonize na shda ane apo
Kwa hiyo wakiimba live show ndio hawajashuka.Manake tunawaona FM Academia,Banana nk wanaimba live lkn mapromota hawawaiti kwenye show zao.Harmo na diamond wametumika sana kwenye show za bure hapa juzizuzi. " hawana mpya tena ..... hakika umaarufu wao utabaki humuhumu mitandaoni., km hawaamini wajaribu kufanya live show....
& things will never be the same again. [emoji121]
Inawezekana hujaelewa nilichoandika.....soma tena.Kwa hiyo wakiimba live show ndio hawajashuka.Manake tunawaona FM Academia,Banana nk wanaimba live lkn mapromota hawawaiti kwenye show zao.
"...wajaribu kufanya live show...."Inawezekana hujaelewa nilichoandika.....soma tena.
Ngoja nichomekee hapo hapo.Mkuu ishi maisha yako, wazazi probably wako wanakutegemea.
Wasanii hawana time na wewe, rafiki yao ni yule mwenye pesa na madaraka.
Kwa lugha rahisi watu maarufu wote Tanzania walishajua wabongo hamnazo na hawajielewi ndio maana wano busy na mambo yao kama CCM, endorsements.
Hata ukikutwa umeyawa kikatili Ubungo, they don't care hata atakayekemea
Wasanii wa Congo nu kama hawa wa kwetu, kazi kujipendejeza kwa watawala nchi imevurugika wanakimbilia Ufaransa.Ngoja nichomekee hapo hapo.
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe
Acheni upumbavu bwana.
Harmo ni talented ila ana kwazwa na mambo mawili:Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila laheri , kweli anapata support ya media kubwa and some how anafanya vizur kwenye digital platforms, hata hvyo nyuma ya pazia mambo hayapo vizur Kwa huyu mwamba wa Chitoholi.
Project zake nyingi zinafeli , uimbaj wake umeyumba Sana , tangu atoke WCB ngoma nazozikubal ni UNO na Fall in love , ..... Vijembe vimekuwa vingi , nafkr yupo under high pressure Sana , washauri pia ni wengi ambao most of them wanamtia hofu, huku anaonekana kuwa na was was kumantain the top ili kushindana na WCB ambao kimsingi wapo well organized
Amekuwa mtu wa kulalamika Sana , alituahidi mgahawa town sjui umeishia wap , alituahidi Tandahimba fm lakn nothing new , utaskia akiwa jukwaani " wanangu niwaambie kitu, mwezi ujao tunawasha redio hapa hapa nyumbani"
Tuliahdiwa tamasha kubwa sanan November 28, Jana kapost insta analalamika tuu , kwamba issue imefeli na ipo postponed sjui mpak lini....
Ibra alikuwa anatosha Sana Kwa mwaka huu , ukurupukaj wa kusign magrunet mengine yanampa pressure tuuu....
Naona asipobadilika atapotea kabisaaa
View attachment 1629658
Halafu anaenda PSG kufunikwa na bwanamdogo Mbappe[emoji1][emoji1]Amonaizi amefanya kama alichokifanya neymar kutimkia psj kutafuta ufalme wake mwenyew kufuta regine ya ronaldo na messi
Na mbappe wa bongo flava ni Mario😂Halafu anaenda PSG kufunikwa na bwanamdogo Mbappe[emoji1][emoji1]
[emoji122] ni kweli kabisa.Huyu jamaa nakumbuka mwaka mmoja kabla kuondoka WCB alikuwa moto hata kuliko Diamond yan inshort nilimuona kama ndo nwanamziki bora Tanzania! Alivyoondoka WCB jamaa akaanza kuzingua sana af udhaifu wake mkubwa ni kwamba anakurupuka sana na kutaka kushindana na management yake ya zamani!! Kila siku ana sign wasanii wapya af wale wa mwanzo bado hawajafika popote! Me nilijua akitoka kule atakuwa ameondoka na maujanja ila ase anakurupuka sana,Aisee jamaa sijui anawazaga nini hivi unaanzje kusign wasanii label zaid ya wa 4 ndan ya miez tu! Af anasign wasanii wasiokuwa na maajabu!! Hao wasanii mda sio wataondoka zao! Sema jamaa tatizo kubwa ni kwamba anazungukwa na watu wasiojua mziki ndo maana
Dharau,majivuno,bifu za kijinga,skendo zisizo na mashiko.
Bifu na domo angetuachia haters na anonymous kama sie yeye angeendelea na muziki mzuri. Sasa mtu hadharani anaonyesha kukosa shukrani kwa aliyemshika mkono mpaka kujulikana.
Ngoma ya Ushamba imekuwa mistake kubwa Sana , kibaya zaidi WCB wametoa mawe Sana msimu huu, ngoma ya Rayvanny , fall ya Mboso pamoja na whaa , na hyo tumewasha ya Tgo ndo kabisaaaaa itakuwa ngumu Kwa kondeboy kufanya counterstrike hasa kipind hiki ambacho yupo under high criticism Kwa kumshambulia Diamond waz waz kwenye wimbo wa Ushamba