What will you do?

What will you do?

daughter

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2009
Posts
1,275
Reaction score
748
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali
 
Mmmm,uambie moyo wako uchague kitu kimoja hapo. Kama unampenda ni unampenda. Tafuta namna ya kukabidhiana na kasoro ndogo ndogo unazoziona.

Kama humpendi ni haupendi tu, wala huwezi kuona jema linazozidi ubaya kwake.

Binafsi siwezi kumpenda na kumchukia mtu kwa wakati mmoja.
 
Another broken-heart - Any help please?
 
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali

My daughter!

"Life can either be accepted or changed. If it is not accepted,
it must be changed. If it cannot be changed, then it must be accepted
."

Huo ndiyo ushauri wangu kwa leo!
 
Nimegundua kuwa nimependa kusiko,yaani nimepotea njia na kuingia choo cha kiume. Pamoja na maumivu yote ninayoyapata i am still in love with that guy and i really hate it. Nifanyeje ili niweze kumtoa kabisa katika moyo na akili yangu?
Naomba mawazo yenu tafadhali

''FORGIVENESS does not change the past, but it does enlarge the future''

Naomba niishie hapo kwa muda,
ntarudi, nikimaliza kunywa kyai!!!!!!!!
 
Mmmm,uambie moyo wako uchague kitu kimoja hapo. Kama unampenda ni unampenda. Tafuta namna ya kukabidhiana na kasoro ndogo ndogo unazoziona.

Kama humpendi ni haupendi tu, wala huwezi kuona jema linazozidi ubaya kwake.

Binafsi siwezi kumpenda na kumchukia mtu kwa wakati mmoja.
LD sio kwamba nampenda na kumchukia at the same time,ni kwamba i hate the fact that i love him
 
''FORGIVENESS does not change the past, but it does enlarge the future''

Naomba niishie hapo kwa muda,
ntarudi, nikimaliza kunywa kyai!!!!!!!!
nakungoja hapa hapa
 
My daughter!

“Life can either be accepted or changed. If it is not accepted,
it must be changed. If it cannot be changed, then it must be accepted

Huo ndiyo ushauri wangu kwa leo!
Baba Enock sijaaccept ndo maana nataka kuchange. Shida ni how do i do it?
 
Daughter umenikumbusha Quote hii hapa! "I hate you...and then I love you...it's like I want to throw you off a cliff....then rush to the bottom to catch you"
Fanya maamuzi ya moyo wako, ushasema umependa kusiko! I think it is not too late my dear, maumivu hayazoeleki!! 'live with it or leave it'
 
Mpendwa ungesema kwanini unaona umependa pabaya ushauri utatoka unaohusu hali yako halisi bila nyongeza wala mapungufu!
 
Ni vijimambo flani vinanifanya nione kuwa yeye hanipendi kama nilivyofikiria.
Anaweza kukaa for two days bila kuwasiliana na mimi na ukimcall hana sababu yoyote ya msingi iliyomfanya awe kimya.
Mara asipokee simu hata mara nne ana kusms "ntakupigia" lakini hapigi mpaka umtafute.
Mtu anayekupenda hawezi kukufanyia hivyo ndo maana naona nimepotea.
 
Huyo akupendi mpenzi, ila huwezi kumtoa moyoni haraka haraka itachukua muda kidogo na mara nyingi ni mpaka upate mpenzi mwingine ndio yeye unaweza kumsahau kirahisi zaidi. Ila siku ukishamsahau atapata habari yake
 
ni kweli kabisa njoo kwangu nikuonyeshe mapenzi utakua hujapotea njia
 
mapezni/mahusiano/mapenzi kila siku yanaumiza yani ni sawa na wimbo wa "hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida,haichagui mtu ,siku wala mwaka ooooh na wala haina ngoja ngoja.........,"pole sana mpz lkn ktk maisha kila kitu na wakati wake,kuna wakati wa kulia na kucheka,kupanda na kuvuna etc,time heals and tells,itafika kipindi na yy ataumia kama unavyoumia ww now,atakutafuta mpaka atachoka,my advise do the rit thing at the rit time,kwa sasa jipende sana ww mwenyewe angalia maisha yako,penda familia yako, kuwa karibu n wale wanaokupa furaha wakati wote,enjoy maihsa whle ur still young,kuanza kuumia sasa baadae ndo kuna leta ma B.P,Mtumaini sana Mungu maana amelaaniwa yule amtegemeae mwanadam!if its urs it will cme bak to u!
 
Be blessed pearl Ushauri wako ni mzuri sana na utakuwa msaada kwa wengi hayo ndo mambo tunayotaka JF THANKS AGAIN.
 
Pole sana doughter mwamini Mungu 'let things be in place naturally'
 
mapezni/mahusiano/mapenzi kila siku yanaumiza yani ni sawa na wimbo wa "hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida,haichagui mtu ,siku wala mwaka ooooh na wala haina ngoja ngoja.........,"pole sana mpz lkn ktk maisha kila kitu na wakati wake,kuna wakati wa kulia na kucheka,kupanda na kuvuna etc,time heals and tells,itafika kipindi na yy ataumia kama unavyoumia ww now,atakutafuta mpaka atachoka,my advise do the rit thing at the rit time,kwa sasa jipende sana ww mwenyewe angalia maisha yako,penda familia yako, kuwa karibu n wale wanaokupa furaha wakati wote,enjoy maihsa whle ur still young,kuanza kuumia sasa baadae ndo kuna leta ma B.P,Mtumaini sana Mungu maana amelaaniwa yule amtegemeae mwanadam!if its urs it will cme bak to u!

Asante sana kwa ushauri mzuri Pearl ntaufanyia kazi.
Mapenzi sijui ni kwa nini yanaexist.
 
Back
Top Bottom