mapezni/mahusiano/mapenzi kila siku yanaumiza yani ni sawa na wimbo wa "hakuna kitu kibaya sana humu duniani kama shida,haichagui mtu ,siku wala mwaka ooooh na wala haina ngoja ngoja.........,"pole sana mpz lkn ktk maisha kila kitu na wakati wake,kuna wakati wa kulia na kucheka,kupanda na kuvuna etc,time heals and tells,itafika kipindi na yy ataumia kama unavyoumia ww now,atakutafuta mpaka atachoka,my advise do the rit thing at the rit time,kwa sasa jipende sana ww mwenyewe angalia maisha yako,penda familia yako, kuwa karibu n wale wanaokupa furaha wakati wote,enjoy maihsa whle ur still young,kuanza kuumia sasa baadae ndo kuna leta ma B.P,Mtumaini sana Mungu maana amelaaniwa yule amtegemeae mwanadam!if its urs it will cme bak to u!