Whatapp, facebook na Insta zikifungwa mtaweza maisha bongo hii

Alagwa

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
96
Reaction score
88
Kwa muda mfupi wa mitandaao hi ya kijamii kusumbua wate wengi wamekwama katika shughuli zao nyingi. Mfano mshijai wangu kazini kwako kila kitu ni kwenye group la whatapp la job sasa jioni nii mtandao hakuna ndio kama likizo kwake,, Je kama ikichukua muda mrefu halii hii tutaimudu?
 
Edit uzi wako basi unakimbilia wapi
 
Uandishi gani huu?
 
Zamani Yahoo messenger na Msn ndiyo zilikuwa whatsapp
 
Ifike mahali tuanze kutegemea yetu kama jamii forum

Anaweza anzisha platform ndani yake ikawa ni version tofauti mfano wa messenger( Facebook au whatsapp) wenye instant reply (ichi ndo cha muhimu) wa end to end user (ila halinaga ukweli) [emoji23][emoji23] na ikajitegemea kwa mwazo anao watumiaji wote wa jamii forum ni wateja wake wanapata platform na bado iwe ni anonymous
 
App zipo nyingi sana bongo tayari washatengeneza mzigo hebu kadownload playstore uendelee
 
Kama ilivyo kwa jamaa yako wengi tunapata kupumzika.

..........
 
Mbona kipindi cha uchaguzi tulivumilia wiki nzima? Jikazeni na nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…