What's app keeps stopping

What's app keeps stopping

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
332
Reaction score
549
Habari wadau

Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule.

Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu utatuzi tafadhali.

Screenshot_20210405-122140.png
 
View attachment 1743967
Kuna vitu vinaweza kua sababu kama incompatibility with Android Version iliyopo, enough space ya ku process caches na pia kuna ile Android WebView au Google Chrome kama zipo outdated jaribu kuzi update zitamaliza tatizo, Majuzi hapa whatsapp zote na apps nyingi za android zilipata tatizo la ku crash kutokana na matatizo madogo madogo ya kitaalamu ya kwao Google..
 
Habari wadau

Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule.

Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu utatuzi tafadhali.

View attachment 1743967
Nenda playstore uka update Android System WebView na Chrome kwanza then leta mrejesho
 
Back
Top Bottom