Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 332
- 549
Habari wadau
Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory settings,lakini bado ukidownload mwendo ni uleule.
Sasa hii app imekuwa haina raha tena mwenye kufahamu utatuzi tafadhali.