Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Sijaelewa sasa
Kwa kifupi ni kwamba kwenye list ya rafiki zako hakuna mburulaz..
ninyi watu mnanichakachuwa....how comes kila mtu anasema ni yeye mwenyewe
Mimi nimejiweka mimi
Visualize with Hypes. And create that colourful legacy with your art. Pretty much.
We naweeeeee!! Unafurahiii nisipoelewa, ndio umesema nini sasa hapo?
I know Iknow how u feel my dia... Mungu akutie nguvu