What's the story behind your avatar?

What's the story behind your avatar?

Ni kweli kabisa mkuu..ila mimi nikiangalia picha yako hapo napata explanations zaidi ya hamsini
Unapenda wanawake wafupi?
Wewe ni mrefu mkeo mfupi?
Hiyo tofauti umeona ni kituko?
Ndio maana nikauuliza ili nijue maana halisi

Hahahhahahahahha....ni kwel mimi ni mrefu na pia ni kwel napenda nimzidi mtu urefu na pia ni kwel niliyenae ni mfupi kwangu ila siyo mfupi....
 
I like German Machines. I love BMW's sedans.
I really admire BMW as a company. I want to be successfull as them one day.
 
Dr Ben Carson Head of pediatric neurosurgery at John Hopkins hospital, kule alikoenda msanii mkuu kutibiwa busha
trigeminal hivi dr.Carson bado hajastaafu..? maana nimesikia ameishatangaza nia kugombea urais... so najiuliza siasa haiwezi kumshusha hadhi kweli...!
 
Last edited by a moderator:
trigeminal hivi dr.Carson bado hajastaafu..? maana nimesikia ameishatangaza nia kugombea urais... so najiuliza siasa haiwezi kumshusha hadhi kweli...!

Nmeskia kaanza midahalo ya kuwania urais, ila kustaafu alkua bado
 
Last edited by a moderator:
Niilijua unapenda black nikutumie kapicha kangu kumbe hdi uwe beautiful lol
hahaha beauty is in the eye of the beholder, so long as wewe ni black afu natural basi nitumie tu kapicha kako
 
hahaha beauty is in the eye of the beholder, so long as wewe ni black afu natural basi nitumie tu kapicha kako

Hem ngoja kwanza...kuna ublaki ambao sio natural au unamaanishaje?
 
Back
Top Bottom