trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
My role model, Dr Carson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa mkuu..ila mimi nikiangalia picha yako hapo napata explanations zaidi ya hamsini
Unapenda wanawake wafupi?
Wewe ni mrefu mkeo mfupi?
Hiyo tofauti umeona ni kituko?
Ndio maana nikauuliza ili nijue maana halisi
Hehe..utasababisha matatizo humu.
Who...??
trigeminal hivi dr.Carson bado hajastaafu..? maana nimesikia ameishatangaza nia kugombea urais... so najiuliza siasa haiwezi kumshusha hadhi kweli...!Dr Ben Carson Head of pediatric neurosurgery at John Hopkins hospital, kule alikoenda msanii mkuu kutibiwa busha
trigeminal hivi dr.Carson bado hajastaafu..? maana nimesikia ameishatangaza nia kugombea urais... so najiuliza siasa haiwezi kumshusha hadhi kweli...!
hahaha beauty is in the eye of the beholder, so long as wewe ni black afu natural basi nitumie tu kapicha kakoNiilijua unapenda black nikutumie kapicha kangu kumbe hdi uwe beautiful lol
Hem ngoja kwanza...kuna ublaki ambao sio natural au unamaanishaje?
Sasa black + lace wigs + kope ni natural jamani? Namaanisha kama huo ublaki wako + upara wako/ natural hairHem ngoja kwanza...kuna ublaki ambao sio natural au unamaanishaje?
Visualize with Hypes. And create that colourful legacy with your art. Pretty much.
aaah we nae bhana...