Whats wrong with Kanye?

Apelekewe kikombe cha babu atatulia tu!
Jay na Benyonce pia wanamuongezea jamaa msongo wa mawazo,kwanza kwy Throne alijichomeka badala ya drake,na kwy inshu ya visual album ilikua idea yake Beyonce akasepa nayo akapiga mpunga balaa,mara mkewe aporwe,mara madeni,mara kifo cha mama yake,lazima awehuke kidogo!
 
Kanye hata mie nimeona mitandaoni wakihusisha na illuminati, Mara kardashian curse inampata maana kila mwanaume ajihusishaye na hyo family huharibikiwa, though yanasemwa mengi lakini ukute ni tatizo tu la kawaida la kuugua ka wengine.
Hio Kardashian curse hata mi nimeona imeenea kweli. Ila dunia ina mengi sijui
 
Wiz khalifa anajua kila kitu watu wanamuona kama chizi fulani kanye hao mashetani watapita naye hakuna cha kufiwa madeni wala stress
 
Hio Kardashian curse hata mi nimeona imeenea kweli. Ila dunia ina mengi sijui
Ila naona wanawasingizia tu hyo kitu nadhani wanaume wengi wanashindwa kuendana nao tu hasa hyo fame yao, kati ya mastar wanaopondwa kardashian wanaongoza. Kanye ameanzaga mambo yake before hata ya kuwa na Kim hasa mamake alivofariki, yule Scott huwa mlevi before kourtney, Lamar alianzaga kutumia madawa before khoe. Hao wanaoshindwa kwa sababu zao naona hutafta visingizio, hata Caitlin naye alikua anapenda mambo ya kike tangu mdogo hata mkewe alimfumania, sasa na yeye akaingia maxima.
 
Kardashian family ukiingia kwenye zone zao wanakutoa sadaka kama mbuzi wa kafara. Nenda youtube ukaangalie wanaume wote waliowadate. wame poromoka kama twins tower.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kardashian family ukiingia kwenye zone zao wanakutoa sadaka kama mbuzi wa kafara. Nenda youtube ukaangalie wanaume wote waliowadate. wame poromoka kama twins tower.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wako hatari sana aisee ka ni hivo maana wanaume wote huishia kuwa hovyo
 
Yes you nailed it. MK-Ultra victims ambao huwa under mind control wanakuwa programmed tokea wakiwa wadogo na wanakuwa controlled na handlers ambao wanaamua wafanye nini kadiri wanavyotaka wao. Mara nyingi huwa wanakuwa na multiple personalities. Kadiri umri unavyokwenda wengi huwa wanapata breakdown na kuwa kama vichaa hivyo inabidi wapelekwe hospitali kwa matibabu lakini ukweli ni kwamba huwa wanakuwa programmed tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…