darren gold
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 312
- 185
tajiri kanyeMaskini kanye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tajiri kanyeMaskini kanye
Hio Kardashian curse hata mi nimeona imeenea kweli. Ila dunia ina mengi sijuiKanye hata mie nimeona mitandaoni wakihusisha na illuminati, Mara kardashian curse inampata maana kila mwanaume ajihusishaye na hyo family huharibikiwa, though yanasemwa mengi lakini ukute ni tatizo tu la kawaida la kuugua ka wengine.
Yeazushuyu kiumbe si inasemekana ana BIBLIA yake inayomzungumzia yeye kama mungu mtu? hakika MUNGU hadhihakiwi
kama namuona TID kwa mbaaali vile
Ila naona wanawasingizia tu hyo kitu nadhani wanaume wengi wanashindwa kuendana nao tu hasa hyo fame yao, kati ya mastar wanaopondwa kardashian wanaongoza. Kanye ameanzaga mambo yake before hata ya kuwa na Kim hasa mamake alivofariki, yule Scott huwa mlevi before kourtney, Lamar alianzaga kutumia madawa before khoe. Hao wanaoshindwa kwa sababu zao naona hutafta visingizio, hata Caitlin naye alikua anapenda mambo ya kike tangu mdogo hata mkewe alimfumania, sasa na yeye akaingia maxima.Hio Kardashian curse hata mi nimeona imeenea kweli. Ila dunia ina mengi sijui
Na huwa hatujifichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah!
Watanzania tuna namna yetu ya kipekee kabisa ya kutoa maoni.
Kardashian family ukiingia kwenye zone zao wanakutoa sadaka kama mbuzi wa kafara. Nenda youtube ukaangalie wanaume wote waliowadate. wame poromoka kama twins tower.Ila naona wanawasingizia tu hyo kitu nadhani wanaume wengi wanashindwa kuendana nao tu hasa hyo fame yao, kati ya mastar wanaopondwa kardashian wanaongoza. Kanye ameanzaga mambo yake before hata ya kuwa na Kim hasa mamake alivofariki, yule Scott huwa mlevi before kourtney, Lamar alianzaga kutumia madawa before khoe. Hao wanaoshindwa kwa sababu zao naona hutafta visingizio, hata Caitlin naye alikua anapenda mambo ya kike tangu mdogo hata mkewe alimfumania, sasa na yeye akaingia maxima.
Wako hatari sana aisee ka ni hivo maana wanaume wote huishia kuwa hovyoKardashian family ukiingia kwenye zone zao wanakutoa sadaka kama mbuzi wa kafara. Nenda youtube ukaangalie wanaume wote waliowadate. wame poromoka kama twins tower.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yes you nailed it. MK-Ultra victims ambao huwa under mind control wanakuwa programmed tokea wakiwa wadogo na wanakuwa controlled na handlers ambao wanaamua wafanye nini kadiri wanavyotaka wao. Mara nyingi huwa wanakuwa na multiple personalities. Kadiri umri unavyokwenda wengi huwa wanapata breakdown na kuwa kama vichaa hivyo inabidi wapelekwe hospitali kwa matibabu lakini ukweli ni kwamba huwa wanakuwa programmed tena.Kanye ni mfano tu wa wasanii ambao wako under MK-Ultra mind control na hata hii skit ya yeye kuloose it hamna lolote waliona kwnye show kawaumbua wakubwa zake wakaona bora waseme kua ni kichaa in the mean time huko hospitali hatujui wanamfanya nn. Nakumbuka maneno ya Dave chapelle aliposema kua there is something wrong with hollywood. Kila msanii ana njia yake ya kudeal na his own deamons....mfano britney alijinyoa nywele,Kanye amerant kwnye stage badala ya kuperform. He just needs prayers.
Mambo ya Illuminate na freemason achana nayo fanya yako.
Na itamtafuna sanahuyu kiumbe si inasemekana ana BIBLIA yake inayomzungumzia yeye kama mungu mtu? hakika MUNGU hadhihakiwi