Manchris Jbisd
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 691
- 494
Nimekuheshimu aisee... Kumbe unaichekigi Gotham eeh?The best liars always tell the truth.. Selina Kyle "Gotham"
Hahahah ile movie ya kinyamwezi sana, jamaa alitokelezea ki gangsta mbaya. Yani sichoki kuiangalia mikato yake mzee washington dunia nzima.Denzel fucking Washington
Hii movie ya Training day alishindia " OSCARS"
Jamaa hajawaikosea.
Fundi yuleHahahah ile movie ya kinyamwezi sana, jamaa alitokelezea ki gangsta mbaya. Yani sichoki kuiangalia mikato yake mzee washington dunia nzima.
[emoji23]old shit! different day...
The good,the bad and the uglyHii kwenye movie gan mkuu
The good, the bad and the ugly ..Jina la movie nimesahau mkuu lakini hiyo line ilibaki kichwani
Tuko... HahahahWhen you have to shoot, shoot don't talk.
Eli Wallace.
The good, the bad and the ugly
Movie gan[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Van dame.... Are u afraid?
Anord............ No
Van dame...... You should be.
Kilichotokea anakijua anord.
PamojaaaaTuko... Hahahah