Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hio muv ya mnyama fundNow im not saying drug dealing or any other crime is a nice thing.
Ila ukiangalia utanote kitu kimoja from these people ni watu flan waelewa sana na wana nidhamu ya watu mnoooo. And always wanakua watu wa win/win moves kwamba kila mmoja kwa nafasi yake apige hela sasa from a business perception there is a lot to learn (negotiation skills)
Pablo Escobar pale hakutaka kuwadhuru alitumia his street smartness kuwafanya wawe in his team hata kama wao walikua hawataki.
The Godfather teaches one to pick his/her battles wisely sio kila biz unasikia inalipa unajifanyia tu.
Boys over flowerSomethings a only visible by faith
Mkuu hio muv ya mnyama fund
Kauzu
Jembe
Gaidi
Mwanaume
PABLO ESCOBAR
inaitwaje
Zote.nimeziona mkuu nlikua na.dvd collection yake enzi za 25-in 1Denzel Washington hajawahikosea movie zake
1. Book of Eli
2. Man on fire
3. The equalizer
4. Training Day
5. Magnificent 7
6. Deja Vu
7. American gangster
8. The Flight
9. Safe house
Tafta hizo movie mkuu hautajutia mdaa wala MBs zako.
Hii movie niliiangalia hta sikuipenda sijui kwa vile mm ni wakike"Fu.ck the King" - Hound (Game of throne)
Upo vizuri mkuu.Zote.nimeziona mkuu nlikua na.dvd collection yake enzi za 25-in 1
Denzel fucking Washington"To protect the sheep you need a wolf, but it takes a wolf to catch a wolf" - Denzel Washington, Training day movie.