prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Huo xiyo mzigo wq john wick chapter one kweli mkuuSalaam wakuu,
Habari za furahi day? Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs. Hua unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata. Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii" I don't think you understand, these boys killed my dog." Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni nyo.ko... hebu tupia na zako