prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Huo xiyo mzigo wq john wick chapter one kweli mkuuSalaam wakuu,
Habari za furahi day? Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs. Hua unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata. Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii" I don't think you understand, these boys killed my dog." Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni nyo.ko... hebu tupia na zako
Van dame.... Are u afraid?
Anord............ No
Van dame...... You should be.
Kilichotokea anakijua anord.
Huyu mwamba achana nae sana sijaona mtu mwenye patriotic heart kama Bauer na mtu ambaye yuko radhi kutumia mbinu zozote kufanikisha jambo ( the end justifies the means)"for a combat soldier the difference between success and failure is your ability to adopt to your enemy, the people that i delt with they dont care about your rules all they care about is a result and my job is to stop them from accomplishing their objectives so i simply adopted and in answer to you question abt am i above the law no sir! I am more than willing to be judged by the people you claim to represent i'll let them decide what price i should pay but please do not seat there with that smug look and expect me to regret the decisions that i have made because the truth sir is, I DON'T"
Jack bauer- 24
No mkuu, ni shooterHuo xiyo mzigo wq john wick chapter one kweli mkuu
He is the strong soldier, let see how strong he is.
umesahau "whats the f..ck" inakuwa imekatwa kiaina"ohh shit..." hii kwenye muvi nyingi tu pale unakuta mtu ameingia tu sehemu kumbe kuna bomu ndo linataka kulipuka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]