donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #81
Muvi gani hii mkuuYaani we acha tu. Nilicheka mpaka machozi yalinitoka
Salaam wakuu,
Habari za furahi day? Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs. Hua unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata. Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii" I don't think you understand, these boys killed my dog." Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni nyo.ko... hebu tupia na zako