SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 827
- 1,707
Hahaha kirikou"Malkia kalaba anatesa watu tumemkosea nini" malikia kalaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kirikou"Malkia kalaba anatesa watu tumemkosea nini" malikia kalaba
Noma sanaHahah, the boondocks
Alichezea mateke matatu mfululizo ya hewani akazima.Kilitokea nini
jack alikuwa poa sana, sema kuna watu wanamuelewa saywer zaidi ya jackKidogo niiandike hii
Yule Jack alinifurahisha sana natamani mwanaume wa vile yaan alivyokua akimtibu yule marshal alvyozinduka akamuuliza Jack yopo wapi kate "she is dangerous" akamuonyesha ile karatasi ina picha ya kate kuonyesha kuwa ni muhalifu ,jack akabaki mdomo wazi
Kilichonishangaza yule hurley alivyokuja kujua katr ni mhalifu akawa anamuuliza jack ,Jack anamuambia hayanihusu,na sio matatizo yake,na hakumweleza kabisa kate na pamoja na ukaribu wao vile,,,kate akawa anajistukia akataka siku moja amuambie yaliyotokea jack akakataa akamuambia haina haja tunaanza maisha mapyaa hapa island kila kitu kipyaa aisee ingekuwa mwanaume wa kibongo hehehehe kate angekoma (Jack ana kifua na ni mwanaume haswa na yuko positive sana)
Niliishia pale yule dogo walt kakamatwa na wale jamaa sijui ni kina nanii
Na najiuliza kwanini hawatafutwii ina maana wale wote kwenye ndege si waliwapa taarifa ndugu zao kwanin serikali haiwatafuti
me namkubali sana jamaa wa "heei everybody♪" wakuitwa chale a.k.a tejajack alikuwa poa sana, sema kuna watu wanamuelewa saywer zaidi ya jack
ha ha hv unajua yule mchizi alikuwa anamdate kate kiuhalisiame namkubali sana jamaa wa "heei everybody♪" wakuitwa chale a.k.a teja
kumbe mim nilikuwa sijui mkuuha ha hv unajua yule mchizi alikuwa anamdate kate kiuhalisia