MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Follow excellence, success will chase you.
3 Idiots.
3 Idiots.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salaam wakuu,
Habari za furahi day?
Okay, mimi kama mpenzi wa movie hua napenda kuhakikisha hakuna kinachonipita hata sentensi moja na ndio maana hua napenda kuangalia movies zenye subs.
Huwa unakuta kwenye movie kuna punchline matata ambayo inakupa msisimko wa kutamani kujua actions zinazofata.
Personally ziko quotes nyingi tu, ila hii "l don't think you understand, these boys killed my dog" Nilijua kinachoenda kutokea itakua ni hatari... hebu tupia na zako
Its a book, nt a rulerProfessor :what is that?
Rancho:A ruler sir[emoji3][emoji3]
Professor akaishiwa pozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kwenye lost Ben v/s Jack
Jack: You want me to save your life.
Ben: No, I want you to want to save my life.
Hahahaaa huyo ndio Ben
Whats chain? Baada ya smook kutaka deboo amrudishie mshaj cheni yake alomkwapuraHahah Deebo anakwambia "Watsup Craig...Watsup Smoke?
Wat yu got on ma 40 homie?"
Jamaa ana akili sana au scriptwriter ana akili sana?Denzel ana misemo jamaa ana akili sana
Black Panther: your in Wakanda now,Thanos will get nothing, only blood and dustThanos: The hardest choices require the strongest wills