phzhenry
Member
- Jul 15, 2021
- 39
- 31
WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa changamoto sana kwangu nashindwa kutumia. Wana Jf naombeni msaada, nifanyeje ili niweze kuondokana na tatizo hili?