WhatsApp Business yangu ina-logout mara kwa mara, nifanyeje ikae sawa?

phzhenry

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
39
Reaction score
31


WhatsApp business yangu kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikinisumbua inakuw ina logout na kunisubirisha baada ya masaa 24 tena ndy niweze kujaribu kuingia tena, na yanapofika masaa 24 niki verify account inakubali inafunguka ila natumia ni ndani ya dk10 tu ina-logout tena, sas hii imekuwa changamoto sana kwangu nashindwa kutumia. Wana Jf naombeni msaada, nifanyeje ili niweze kuondokana na tatizo hili?
 
Kuna mtu kalogin na details zako, add email na namba za simu mtu kabla haja login utumiwe code. Biashara imeisha
inamaan niongeze namba mpya na email nyingine tofauti na nilokuw natumia?
 
kuna hackings zilitokea kwenye whatsapp na hisi izi ni counter measures (inawezekana )au defects za hizo attacks baada ya hii mifumo kuanza kufanya transaction zina seek attention kutoka kwa watu wakila aina na vulnerability ilikuwa ile vièw once feature
 
nifanyeje mkuu?
 
Angalia kama inatumika kwenye devices zaidi ya moja au description ya biashara/account yako haipo sawa.
 
Simu Yako ndio shida mkuu, oppo Huwa zinakula block daily.
 
Simu Gani unatumia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…