igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Mbona Twitter iko gado?Itakuwa Pandora paper imeleta shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Twitter iko gado?Itakuwa Pandora paper imeleta shida
Unateseka ukiwa wapi mdogo wangu[emoji12][emoji16][emoji38]... atakuwa muirani maana kutwa kucha kujiapiza kuishughulikia Marekani na Israili.
Unateseka ukiwa wapi ig au fb[emoji16][emoji12][emoji38]muiran hana intel hiyo
Safi sana inatakiwa zifikie -0% kabisa yaani[emoji38][emoji12][emoji16]Inawezekana ikawa ni sabotage ili kucheza na hisa za facebook?
Maana tayari hisa za face book zimeshuka kwa 5%
6$ bilnKama imetokea duniani kote lazima jamaa awe amekula hasara kubwa
Line Botim, Signal,Twitter, Skype na Telegram nipo ila Sipo Facebook wala InstagramKumbe wadau wa fb mpo wengi humu 😂😂
Team telegram tujuane hapa tunatabasamu mnoo
Bila kuwasahau team Botim tujuane plz
Na nyie pia tutawanunua bana kelele ziishe!!!Line Botim, Signal,Twitter, Skype na Telegram nipo ila Sipo Facebook wala Instagram
Hongera mkuuLine Botim, Signal,Twitter, Skype na Telegram nipo ila Sipo Facebook wala Instagram
😂😂😂Hiki kingereza ni cha kusoma au cha kujifunza? (ras Simba) nk
Ok 🤔 lakin ikiwa 0% inamaana haijashuka...au me ndo sinaelewaSafi sana inatakiwa zifikie -0% kabisa yaani[emoji38][emoji12][emoji16]
Acha kutupiga kamba, server imezimwa utateleza vipi na hiyo browser ya Dark web wakati kinachofanya fb iwe on kimezimwa
Kwahiyo inatumia server ya mbinguni na si za Mark Zuckerberg?Haujui ipo FB ya dark web?
Server Ni tofauti sheikhKwahiyo inatumia server ya mbinguni na si za Mark Zuckerberg?
Kilichofanya mitandao ikapotea ni failure iliyotokea walipokuwa wakifanya upgrade kwenye system yao, ndiyo ikabidi wafanye mpango kurudisha ile ya zamani. Hata uwe unatumia huko lazima upotee, maana system ni moja ila approach ndiyo tofauti
Me GB whatsapp pia ilicollapse...Server Ni tofauti sheikh