WhatsApp, Facebook na Instagram zatoweka hewani Oktaba 4, 2021

Inawezekana ikawa ni sabotage ili kucheza na hisa za facebook?

Maana tayari hisa za face book zimeshuka kwa 5%
Safi sana inatakiwa zifikie -0% kabisa yaani[emoji38][emoji12][emoji16]
 
kwa wataalam au waliofatilia watusaidie ni nini kilichotoke jana kuhusu mitandao ya kijamii inayomilikiwa na mark zuckerbag (fb,whatsap and instagram)
 
naangalia hapa kwenye mifumo naona system bado hipo vibaya.

kuna nini kwenye hii kampuni.! na bado mambo si mazuri
 
Haujui ipo FB ya dark web?
Kwahiyo inatumia server ya mbinguni na si za Mark Zuckerberg?

Kilichofanya mitandao ikapotea ni failure iliyotokea walipokuwa wakifanya upgrade kwenye system yao, ndiyo ikabidi wafanye mpango kurudisha ile ya zamani. Hata uwe unatumia huko lazima upotee, maana system ni moja ila approach ndiyo tofauti
 
Server Ni tofauti sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…